Rais Samia kuzungumza na wakuu wa JWTZ huko Tanga
Hao viongozi ni wa Jeshi la waasi maana hakuna kiongozi wa JW anayeweza kutii amri toka kwa kiongozi Haram aliyeiba uchaguzi na kuua watu na kujitangaza mshindi.

Huyu mtamkuta ICC na nyie kundi lake magaidi mtasaidia kutuambia thamani ya mtanzania mbele ya mahamaka ya Kimataifa
Ukimaliza kuandika haya maneno ya mapovu kanywe panadol ili kichwa kisikuume.
 
Uku Kuna uhuru wa kutosha kwa kutukana na kukebehi kwa kadri unavyoweza, ila sio mambo ya kuingia barabarani kwa maandamano yasiyo na kikomo.

Utapigwa Risasi live. Endeleeni kujimwambafai ma Keyboard worriors.
 
Kuna hujuma Bado Zina endelea , Rais hakupaswa kuvaa magandwa ya jeshi
 
Back
Top Bottom