Ukimaliza kuandika haya maneno ya mapovu kanywe panadol ili kichwa kisikuume.
 
Uku Kuna uhuru wa kutosha kwa kutukana na kukebehi kwa kadri unavyoweza, ila sio mambo ya kuingia barabarani kwa maandamano yasiyo na kikomo.

Utapigwa Risasi live. Endeleeni kujimwambafai ma Keyboard worriors.
 
Kuna hujuma Bado Zina endelea , Rais hakupaswa kuvaa magandwa ya jeshi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…