Rais Samia: Kwa sura nazoziona hapa (CHADEMA) hamna dhamira ya kushika dola 2025, mnajua mama yupo

Tena karudia zaidi ya mara 3[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kama
Tunapepewa deal ya 2025 tusisimamishe mgombea uraisi halaf mama atupe katiba mpya na tume huru why not? Tunaangalia faida
Nyinyi ni vichaa, core ya nchi iingie mkataba na nani hapo CHADEMA? Kwamba endapo hawatatimiza matakwa yenu huko mbeleni mna nini cha kuwafanya?

Acheni kauli za kujifariji, mchuchumalieni SHH yaishe.
 
Zuri mnapongeza kweli ils njaa ikiwauma vizuri mnabadili kipindi.
Njaa Iko wapi chadema wangegomea ruzuku muda wote najua wengi ccm na chawa wa zuber kabwe hawafurahii maridhiano kati ya CCM na chadema hamna asali hapo juzi na Jana la akina mdee mlisema asali Leo mama na mbowe wameweka tofauti na mlivyotarajia kama wewe unakumbukumbu Nyerere alipitia katiba za vyama mbadala akaitabiria chadema wakati huo japo NCCR kilikuwa chama kikuu
 
Ww ni mcho ganishi wahed
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Manyumbu.
 
Leo Mama ameongea ukweli unaouma kwa ndugu zetu CHADEMA, Mama ni mwanasiasa hasa na ameiva, yupo vizuri haswaa BAWACHA/CHADEMA ujumbe umefika kama kisu kimepiga kwenye mfupa.

Mitano tena kwa Mama.
Utani au chombezo lazima ,ukweli utaona
 
Ww ni mcho ganishi wahed
Hapana sio mchonganishi nataka kuwaonyesha kwamba wakati nyie mnashinda humu mnatukanana na Mzee JPM tena mtu ambae keshakufa zake wenzenu wanapiga hela alafu mnakuja kuimbishwa KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI.
 
Manyumbu.thubutu nyie mtabakia mkisema manyumbu unadhani nani mgeni ccm wakati tangu chipukizi tupo ccm Hadi tumekuwa viongozi ndani ya chama we need opposition in our country na utamu wa Debate iwe na wajumbe nutural oppose na proposal
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…