Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aulizwe Bashite na Madilu. Watakuwa wanajua!Ben saanane mlimtupia wapi?
Ikumbukwe pia Maza kamgusa marehemu kaburini kwa kuiponda 27k aliowaonea huruma walalahoi kupata UmemeEheee Tabia mbayaa hyooo.
Unapata wapi muda wa kumkosoa mh rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania?
usijaribu kumshika chui makende
Na ni bodi wake kichamaKumbe Spika ni mtumishi wa Rais?
Mama ame panick, jobo amemshika pabaya, na huyu jamaa either ni mpango wa MUNGU kuwafumbua macho watanzania kujua tunapokwenda au ni maagizo kutoka kwa kambi ya mwendazake kupima kina cha maji kwa mguu, trust me hata wakimvua cheo haitasaidia, tayari meseji imeshafika.Leo Samia amefanya kosa kubwa sana kwa kitendo chake cha kujibu mashambulizi kwa Ndugai.
Hii mbungi ya Ndugai ndo ilikuwa chance kubwa ya mama kuwajua maadui zake kwa kirefu.
Mama angepaswa kuwa soft kabisa kwa siku ya leo. Na ingependeza kama angeanza kumshukuru kwa dhati Ndugai kwa kuomba msamaha.
Imagine kama angeongea haya maneno leo "Namshukuru sana kaka yangu Ndugai kwa kuonesha ukomavu na kurekebisha kauli yako ili tuendelee kujenga taifa la umoja na mshikamano"
Hivo ndivo mama angepaswa kusikika leo. Diplomatically and soft tone. Hii ingemfanya hata Ndugai aone kama amesamehewa kirahisi.
Hiyo maana yake ni kumpa adui false signal, halafu sasa akishajaa kwenye comfort zone, ndo unafanya severe atacks.
Kwa case kama hii, Samia amgeweza kuwa soft sana kama nilivosema hapo mwanzo halafu baada ya kama wiki mbili au tatu mambo yakishapoa, ndo anafanya fujo za kuvunja baraza la mawaziri ikifuatiwa na taratibu za Ndugai kuvuliwa u spika.
Sasa kwa hii move ya kukunjua makucha asubuhi na mapema, maana yake ni kama ametangaza vita wazi wazi na kambi ya kina Ndugai kitu ambacho kwangu mimi tayar ni udhaifu kwa sababu sasa Ndugai ni kama naye hawezi kutulia tu hivi abondwe, lazima atataka kujibu mashambulizi na kurejesha nguvu yake hata ingekuwa mimi.
Wasukuma tuna mzoom tu, R.I.P RAIS WA WANYONGEIkumbukwe pia Maza kamgusa marehemu kaburini kwa kuiponda 27k alio waonea huruma walalahoi kupata Umeme
Mbona marehemu mzee Karume aliwajengea magorofa buree kule Michenzani!!!!!!
Maza Maza Maza kuwa makini
Fact, you never know with women. Lile la Covid19 ni silaha iliyowekwa kiporo, akijaribu kufurukuta litamlipukia mikononi live bila chenga.Mimi niko na mama. Kwanza kaniudhi hakuzungumzia wale ndezi 19 Ndugai anaowafuga pale. Unamkandya mama na mikopo yake yenye maslahi ya Taifa wakati wewe unatumia mamilioni ya mahela ya watanzania kuweka kwenye vikoba vya wabunge hewa kisa tu kukomoa upinzani
Mama kaniudhi, hakumchamba vizuri mgogo. Sijui lakini, labda kaweka kiporo incase mgogo akatingisha kibiriti. You never know with women...
Yaani hujui kuwa spika Nancy na Trump walikuwa wa vyama tofauti?Tz bado sana, marekani spika wa bunge aliichana hotuba ya raisi waziwazi kisa tu hawafanani kimitazamo huku spika anaomba msamaha hadi huruma
Nchi hii public servants wote ni watumishi wa Mkuu wa nchi...Kumbe Spika ni mtumishi wa Rais?
Ndungai mpango WA Mungu mpango WA ShetaniMama ame panick, jobo amemshika pabaya, na huyu jamaa either ni mpango wa MUNGU kuwafumbua macho watanzania kujua tunapokwenda au ni maagizo kutoka kwa kambi ya mwendazake kupima kina cha maji kwa mguu, trust me hata wakimvua cheo haitasaidia, tayari meseji imeshafika.
Kwasababu mihimili mingine mizizi yake imejichimbia sanaTz bado sana, marekani spika wa bunge aliichana hotuba ya raisi waziwazi kisa tu hawafanani kimitazamo huku spika anaomba msamaha hadi huruma
Ndugai alipaswa kuonesha msimamo huu tangu mama alipoanza kumsaliti Magu.Wasukuma tuna mzoom tu, R.I.P RAIS WA WANYONGE
Usipotoshe, alichosema wale waliokuwa na uwezo mdogo wataungiwa kwa 27K ila wanajiweza watawekewa kwa bei halisia.Ikumbukwe pia Maza kamgusa marehemu kaburini kwa kuiponda 27k aliowaonea huruma walalahoi kupata Umeme
Mbona marehemu mzee Karume aliwajengea magorofa buree kule Michenzani!!!!!!
Maza Maza Maza kuwa makini
You never know with women...