Rais Samia leo kafanya kosa kubwa sana. Huwa hatukunjui makucha kwa waliotukosea

Leo Samia amefanya kosa kubwa sana kwa kitendo chake cha kujibu mashambulizi kwa Ndugai.

Hii mbungi ya Ndugai ndo ilikuwa chance kubwa ya mama kuwajua maadui zake kwa kirefu.

Mama angepaswa kuwa soft kabisa kwa siku ya leo. Na ingependeza kama angeanza kumshukuru kwa dhati Ndugai kwa kuomba msamaha.

Imagine kama angeongea haya maneno leo "Namshukuru sana kaka yangu Ndugai kwa kuonesha ukomavu na kurekebisha kauli yako ili tuendelee kujenga taifa la umoja na mshikamano"

Hivyo ndivyo mama angepaswa kusikika leo. Diplomatically and soft tone. Hii ingemfanya hata Ndugai aone kama amesamehewa kirahisi.

Hiyo maana yake ni kumpa adui false signal, halafu sasa akishajaa kwenye comfort zone, ndio unafanya severe atacks.

Kwa case kama hii, Samia amgeweza kuwa soft sana kama nilivyosema hapo mwanzo halafu baada ya kama wiki mbili au tatu mambo yakishapoa, ndio anafanya fujo za kuvunja baraza la mawaziri ikifuatiwa na taratibu za Ndugai kuvuliwa u spika.

Sasa kwa hii move ya kukunjua makucha asubuhi na mapema, maana yake ni kama ametangaza vita wazi wazi na kambi ya kina Ndugai kitu ambacho kwangu mimi tayari ni udhaifu kwa sababu sasa Ndugai ni kama naye hawezi kutulia tu hivi abondwe, lazima atataka kujibu mashambulizi na kurejesha nguvu yake hata ingekuwa mimi.
Mama kakunjua kwasababu anajua kila kitu, hakuna kitu wakinandugai wanafanya mama asipate information. HAKUNA MTU ANAYEWEZA KUPAMBANA NA M/KITI WAKE WA CHAMA NA RAIS WA NCHI NA AKASHINDA
 
Leo Samia amefanya kosa kubwa sana kwa kitendo chake cha kujibu mashambulizi kwa Ndugai.

Hii mbungi ya Ndugai ndo ilikuwa chance kubwa ya mama kuwajua maadui zake kwa kirefu.

Mama angepaswa kuwa soft kabisa kwa siku ya leo. Na ingependeza kama angeanza kumshukuru kwa dhati Ndugai kwa kuomba msamaha.

Imagine kama angeongea haya maneno leo "Namshukuru sana kaka yangu Ndugai kwa kuonesha ukomavu na kurekebisha kauli yako ili tuendelee kujenga taifa la umoja na mshikamano"

Hivyo ndivyo mama angepaswa kusikika leo. Diplomatically and soft tone. Hii ingemfanya hata Ndugai aone kama amesamehewa kirahisi.

Hiyo maana yake ni kumpa adui false signal, halafu sasa akishajaa kwenye comfort zone, ndio unafanya severe atacks.

Kwa case kama hii, Samia amgeweza kuwa soft sana kama nilivyosema hapo mwanzo halafu baada ya kama wiki mbili au tatu mambo yakishapoa, ndio anafanya fujo za kuvunja baraza la mawaziri ikifuatiwa na taratibu za Ndugai kuvuliwa u spika.

Sasa kwa hii move ya kukunjua makucha asubuhi na mapema, maana yake ni kama ametangaza vita wazi wazi na kambi ya kina Ndugai kitu ambacho kwangu mimi tayari ni udhaifu kwa sababu sasa Ndugai ni kama naye hawezi kutulia tu hivi abondwe, lazima atataka kujibu mashambulizi na kurejesha nguvu yake hata ingekuwa mimi.
Weee acha kumdanganya ndugai huwezi kupambana na taasis ya urais ukabaki salama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usipotoshe, alichosema wale waliokuwa na uwezo mdogo wataungiwa kwa 27K ila wanajiweza watawekewa kwa bei halisia.
Sasa tanesco watakuwa wanatumia kigezo gani kujua huyu ana uwezo huyu hana?
 
Leo Samia amefanya kosa kubwa sana kwa kitendo chake cha kujibu mashambulizi kwa Ndugai.

Hii mbungi ya Ndugai ndo ilikuwa chance kubwa ya mama kuwajua maadui zake kwa kirefu.

Mama angepaswa kuwa soft kabisa kwa siku ya leo. Na ingependeza kama angeanza kumshukuru kwa dhati Ndugai kwa kuomba msamaha.

Imagine kama angeongea haya maneno leo "Namshukuru sana kaka yangu Ndugai kwa kuonesha ukomavu na kurekebisha kauli yako ili tuendelee kujenga taifa la umoja na mshikamano"

Hivyo ndivyo mama angepaswa kusikika leo. Diplomatically and soft tone. Hii ingemfanya hata Ndugai aone kama amesamehewa kirahisi.

Hiyo maana yake ni kumpa adui false signal, halafu sasa akishajaa kwenye comfort zone, ndio unafanya severe atacks.

Kwa case kama hii, Samia amgeweza kuwa soft sana kama nilivyosema hapo mwanzo halafu baada ya kama wiki mbili au tatu mambo yakishapoa, ndio anafanya fujo za kuvunja baraza la mawaziri ikifuatiwa na taratibu za Ndugai kuvuliwa u spika.

Sasa kwa hii move ya kukunjua makucha asubuhi na mapema, maana yake ni kama ametangaza vita wazi wazi na kambi ya kina Ndugai kitu ambacho kwangu mimi tayari ni udhaifu kwa sababu sasa Ndugai ni kama naye hawezi kutulia tu hivi abondwe, lazima atataka kujibu mashambulizi na kurejesha nguvu yake hata ingekuwa mimi.
Umewaza vzr bro,lkn ushauri wako ni moja kat ya option nying alizokuwa nazo mama. Ndiyo maana unaeza kuona yeye katumia njia yake aliyoitumia.

Niliwah kusema wakt ule Ndungai ameongea na media,kuwa alijichanganya sana,kudhan angeweza kumghilibu aliyemkwaza amsamehe kwa namna ile alivyoongea ktk kuomba msamaha. Na hata ungekuwa ni ww umeombwa msamaha kwa style ile huenda ungeona km hakuna maana ya mtu kuombana msamaha ila ghiliba tu. Mzee alitamka yy mwenyewe,but anataka mama aamini km watu waliitengeneza clip na kumlisha maneno. Binafs nadhan ile alivyoongea na wanyusi alikosea,lkn ALIKOSEA ZAIDI pale alipoongea kuomba msamaha.
Ni dhahiri alizidi kuzichaji hasira za mama! Rejelea kumsikiliza na ucheck hata ile body language yk then uamue km alimaanisha kuomba msamaha or not!
 
Nadhani mama anajua mipango yao yote,
Ndio maana kamtaja mpaka Kassim, anajua nini kinaendelea na vinara ni akina nani
 
Umewaza vzr bro,lkn ushauri wako ni moja kat ya option nying alizokuwa nazo mama. Ndiyo maana unaeza kuona yeye katumia njia yake aliyoitumia.

Niliwah kusema wakt ule Ndungai ameongea na media,kuwa alijichanganya sana,kudhan angeweza kumghilibu aliyemkwaza amsamehe kwa namna ile alivyoongea ktk kuomba msamaha. Na hata ungekuwa ni ww umeombwa msamaha kwa style ile huenda ungeona km hakuna maana ya mtu kuombana msamaha ila ghiliba tu. Mzee alitamka yy mwenyewe,but anataka mama aamini km watu waliitengeneza clip na kumlisha maneno. Binafs nadhan ile alivyoongea na wanyusi alikosea,lkn ALIKOSEA ZAIDI pale alipoongea kuomba msamaha.
Ni dhahiri alizidi kuzichaji hasira za mama! Rejelea kumsikiliza na ucheck hata ile body language yk then uamue km alimaanisha kuomba msamaha or not!
Swadakta mama yuko sahihi, hawezi kuomba msamaha kwa kosa analokana, hata nikiwa mimi siwezi kubali,
Maana yake hana kosa ila ameonewa,
Na je msamaha anaomba wa Nini?
 
Mama asubiri nini tena wakati maadui zake tayari walishaingia kwenye ngome yake na kuelekea kuiteka?
Vita ya madaraka ndani ya CCM ni nzito mnoo kwa sasa, walioko karibu wanajua hii ni timing game, ukisubiri adui yako akusogelee kwa karibu basi huwezi kutoboa.

Nenda kamuulize Bashiru na Pole Pole nini kilimkuta mzee Meko, leo hii amebakia kuwa hadithi, alicheka na wahuni akijua ni wenzake kwa kuwa wamevalia mashati ya kijani, kilichomkuta ni majuto.
hapo kwa meko umemikumbusha jambo. ile siku nilipomuona tu kasimama kwa ukaribu na rostam aziz, nikajua meko kaisha.
 
Leo Samia amefanya kosa kubwa sana kwa kitendo chake cha kujibu mashambulizi kwa Ndugai.

Hii mbungi ya Ndugai ndo ilikuwa chance kubwa ya mama kuwajua maadui zake kwa kirefu.

Mama angepaswa kuwa soft kabisa kwa siku ya leo. Na ingependeza kama angeanza kumshukuru kwa dhati Ndugai kwa kuomba msamaha.

Imagine kama angeongea haya maneno leo "Namshukuru sana kaka yangu Ndugai kwa kuonesha ukomavu na kurekebisha kauli yako ili tuendelee kujenga taifa la umoja na mshikamano"

Hivyo ndivyo mama angepaswa kusikika leo. Diplomatically and soft tone. Hii ingemfanya hata Ndugai aone kama amesamehewa kirahisi.

Hiyo maana yake ni kumpa adui false signal, halafu sasa akishajaa kwenye comfort zone, ndio unafanya severe atacks.

Kwa case kama hii, Samia amgeweza kuwa soft sana kama nilivyosema hapo mwanzo halafu baada ya kama wiki mbili au tatu mambo yakishapoa, ndio anafanya fujo za kuvunja baraza la mawaziri ikifuatiwa na taratibu za Ndugai kuvuliwa u spika.

Sasa kwa hii move ya kukunjua makucha asubuhi na mapema, maana yake ni kama ametangaza vita wazi wazi na kambi ya kina Ndugai kitu ambacho kwangu mimi tayari ni udhaifu kwa sababu sasa Ndugai ni kama naye hawezi kutulia tu hivi abondwe, lazima atataka kujibu mashambulizi na kurejesha nguvu yake hata ingekuwa mimi.
Rais amefanya sawa kabisa. Walimdharau kwa namna wanavyomuona, sasa kawaonyesha yeye ni nani!

Ukicheka na nyani utavua mabua.
Piga za uso hao Sukuma Gang ambao bado loyalty yao iko kwa marehemu, tuko na wewe
 
Back
Top Bottom