love life live life
JF-Expert Member
- Sep 12, 2021
- 2,584
- 3,051
Hilo sio pigo ni njia tu ya wao kujipanga...Kwa uhakika mpaka mtu anatoka hazarani na kumshambulia Bosi wake ni kuwa alianzia Mbali, na chama,serikali ni taasisi Ndogo ambazo unaweza kufanya utafiti kwa muda Mdogo na kuwajua wote, Rais amekua kwenye hizo taasisi kwa muda wa kutosha anawajua kwa asilimia kubwa, kuwasema hazarani ni pigo Kubwa kwa ambao wako kinyume naye, Na kwa hali ilivyo hapakua na wala hakuna sababu ya kumshambulia na kumsema Rais ambaye amekua kwenye madaraka kwa chini ya Mwaka lakini akipitia changamoto Kubwa za ndani na za kimataifa, Mpaka sasa ameonyesha ni Kiongozi bora kuliko wote waliopita. Jamii isiyo na utaratibu ni jamii mfu, kuna utaratibu ambao ni katiba ufuatwe. na maamuzi ya Wananchi yaheshimiwe na kufuatwa.
Walianza na gazeti la uhuru wanazidi kumsogelea
Vivaaa Ndugai.
Vivaaa mitano tenaaaa.