Naanto Mushi
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 6,236
- 15,677
- Thread starter
-
- #161
Shida ni kwamba bunge likivunjwa.. maana yake wanarudi kwenye mchakato wa uchaguzi kitu ambacho CCM hawajiamini nacho.Msituletee mambo ya kihuni.
Jiwe alikuwa akiua na kuwaweka jela waliompimga.
Akili za jiwe mpaka sasa binge angeshalivunja ila mama mvumilivu.
Wewe ni wa ovyo sana... Adui zako wanapigana wenyewe kwa wenyewe wewe unakazana kuwapangia jinsi ya kumaliza ugomvi wao!Leo Samia amefanya kosa kubwa sana kwa kitendo chake cha kujibu mashambulizi kwa Ndugai.
Hii mbungi ya Ndugai ndo ilikuwa chance kubwa ya mama kuwajua maadui zake kwa kirefu.
Mama angepaswa kuwa soft kabisa kwa siku ya leo. Na ingependeza kama angeanza kumshukuru kwa dhati Ndugai kwa kuomba msamaha.
Imagine kama angeongea haya maneno leo "Namshukuru sana kaka yangu Ndugai kwa kuonesha ukomavu na kurekebisha kauli yako ili tuendelee kujenga taifa la umoja na mshikamano"
Hivyo ndivyo mama angepaswa kusikika leo. Diplomatically and soft tone. Hii ingemfanya hata Ndugai aone kama amesamehewa kirahisi.
Hiyo maana yake ni kumpa adui false signal, halafu sasa akishajaa kwenye comfort zone, ndio unafanya mashambulizi ya kushtukiza. Hiyo ndo namna bora ya ku react pale unapohisi kuna sabotage.
Kwa case kama hii, Samia amgeweza kuwa soft sana kama nilivyosema hapo mwanzo halafu baada ya kama wiki mbili au tatu mambo yakishapoa, ndio anafanya fujo za kuvunja baraza la mawaziri ikifuatiwa na taratibu za Ndugai kuvuliwa u spika.
Sasa kwa hii move ya kukunjua makucha asubuhi na mapema, maana yake ni kama ametangaza vita wazi wazi na kambi ya kina Ndugai kitu ambacho kwangu mimi tayari ni udhaifu kwa sababu sasa Ndugai ni kama naye hawezi kutulia tu hivi abondwe, lazima atataka kujibu mashambulizi na kurejesha nguvu yake hata ingekuwa mimi.
Ni kweli Ndugai kuna moto amewasha, mama alitakiwa kuuzima kwa kukubali msamaha kidiplomasia, ila sasa mama naye kauwasha moto. Matokeo yake hapa sasa kuna limoto linawaka na linafukuta.
Nnachoona hapa soon tutasikia mayowe! Hatujui nani atapiga sasa, maana limoto linawaka
Itakiwa ni endless spiral...Vita ya nungunungu na chui... Hakuna mshindi... Wakisha mng'oa walio mng'oa the same will feel same pein.... Usiniulize najuwaje....
Ndugu wa Marehemu sisi tunawaombea moto usizime hadi mgawane fito zoteLeo Samia amefanya kosa kubwa sana kwa kitendo chake cha kujibu mashambulizi kwa Ndugai.
Hii mbungi ya Ndugai ndo ilikuwa chance kubwa ya mama kuwajua maadui zake kwa kirefu.
Mama angepaswa kuwa soft kabisa kwa siku ya leo. Na ingependeza kama angeanza kumshukuru kwa dhati Ndugai kwa kuomba msamaha.
Imagine kama angeongea haya maneno leo "Namshukuru sana kaka yangu Ndugai kwa kuonesha ukomavu na kurekebisha kauli yako ili tuendelee kujenga taifa la umoja na mshikamano"
Hivyo ndivyo mama angepaswa kusikika leo. Diplomatically and soft tone. Hii ingemfanya hata Ndugai aone kama amesamehewa kirahisi.
Hiyo maana yake ni kumpa adui false signal, halafu sasa akishajaa kwenye comfort zone, ndio unafanya mashambulizi ya kushtukiza. Hiyo ndo namna bora ya ku react pale unapohisi kuna sabotage.
Kwa case kama hii, Samia amgeweza kuwa soft sana kama nilivyosema hapo mwanzo halafu baada ya kama wiki mbili au tatu mambo yakishapoa, ndio anafanya fujo za kuvunja baraza la mawaziri ikifuatiwa na taratibu za Ndugai kuvuliwa u spika.
Sasa kwa hii move ya kukunjua makucha asubuhi na mapema, maana yake ni kama ametangaza vita wazi wazi na kambi ya kina Ndugai kitu ambacho kwangu mimi tayari ni udhaifu kwa sababu sasa Ndugai ni kama naye hawezi kutulia tu hivi abondwe, lazima atataka kujibu mashambulizi na kurejesha nguvu yake hata ingekuwa mimi.
Ni kweli Ndugai kuna moto amewasha, mama alitakiwa kuuzima kwa kukubali msamaha kidiplomasia, ila sasa mama naye kauwasha moto. Matokeo yake hapa sasa kuna limoto linawaka na linafukuta.
Nnachoona hapa soon tutasikia mayowe! Hatujui nani atapiga sasa, maana limoto linawaka
Kama yule popo anapiga K Vant, nadhani umefika muda wa mimi kuachana na hicho kilauri. Kwamba K Vant inanywewa na wagogo?We mzee umenichekesha sana ila hii Job alipo hawezi lala bila kupiga Kvant
Hebu sali: NIMEKOSA MIMI NIMEKOSA MIMI NIMEKOSA SANANakubaliana na mtoa hoja.
Nakumbuka wakati wa JPM kuna kikosi cha watu walikuwa wakimtukana sana, lakini yeye hakuonesha reaction yoyote hadharani ingawa aliwajua vizuri kabisa waliokuwa wakimtukana, akiwemo MHUNI.
Lakini kwa upande mwingine tunaweza kusema, Auaye kwa upanga naye atakufa kwa upanga huo huo.
Maana, wale wote waliokuwa wakimtukana JPM matusi ya nguoni, yeye amewakumbatia. Hapo tunajifunza nini?
Mkuu nimevuta picha ya kibwebwe na kupandisha maziwa nimecheka sanatatizo mnashindwa kupambanua Boga na Tango.
Kiufahamu tabia za kike na zakiume ni tofauti ,kwa ikilivyo Raisi Samia yupo sahihi kabisa,wenyewe wanasema amempa makavu makavu,amempasha ,aafu sku izi wamama wanatabia wakikasirika wanakamata machuchu na kuyainua kwa pamoja,zamani walikuwa wanajifunga na kukaza kibwewe wasku izi ndio hio ya kuyainua machuchu kama wanaopania .
Warume tukubali wammama huu ni utawala wao na style za kupandisha hasila kikawaida zipo nje nje.
Mkuu rejea vizuri katiba unaweza kuwa speaker pasipo kuwa mbunge ,,rejea Pius MsekwaHahahaaaa kwenye karatasi ni kweli lakin kiuhalisia supika ni mtumish wa rais kwa sababu katiba haija eleza kama ukiwa supika huwezi futiwa uanachama ila inaeleza ukiwa huna chama huna sifa ya kuwa mbunge na huwezi kuwa speaker wa bunge ikiwa wewe sio mbunge na mwenyekiti wa chama ananguvu kubwa ya ushawishi wankufutiwa uanachama chaman hivyo tu yaan
Huwezi kusema mama kakosea,kila mtu ana principles zake katika kuhandle sensitive issues hivyo usilazimishe kwamba principles zako wewe ndo ziwe Sahihi,afterall mama hajaona sababu ya kuwa mnafiki,kachukia na kaonesha amechukia.Leo Samia amefanya kosa kubwa sana kwa kitendo chake cha kujibu mashambulizi kwa Ndugai.
Hii mbungi ya Ndugai ndo ilikuwa chance kubwa ya mama kuwajua maadui zake kwa kirefu.
Mama angepaswa kuwa soft kabisa kwa siku ya leo. Na ingependeza kama angeanza kumshukuru kwa dhati Ndugai kwa kuomba msamaha.
Imagine kama angeongea haya maneno leo "Namshukuru sana kaka yangu Ndugai kwa kuonesha ukomavu na kurekebisha kauli yako ili tuendelee kujenga taifa la umoja na mshikamano"
Hivyo ndivyo mama angepaswa kusikika leo. Diplomatically and soft tone. Hii ingemfanya hata Ndugai aone kama amesamehewa kirahisi.
Hiyo maana yake ni kumpa adui false signal, halafu sasa akishajaa kwenye comfort zone, ndio unafanya mashambulizi ya kushtukiza. Hiyo ndo namna bora ya ku react pale unapohisi kuna sabotage.
Kwa case kama hii, Samia amgeweza kuwa soft sana kama nilivyosema hapo mwanzo halafu baada ya kama wiki mbili au tatu mambo yakishapoa, ndio anafanya fujo za kuvunja baraza la mawaziri ikifuatiwa na taratibu za Ndugai kuvuliwa u spika.
Sasa kwa hii move ya kukunjua makucha asubuhi na mapema, maana yake ni kama ametangaza vita wazi wazi na kambi ya kina Ndugai kitu ambacho kwangu mimi tayari ni udhaifu kwa sababu sasa Ndugai ni kama naye hawezi kutulia tu hivi abondwe, lazima atataka kujibu mashambulizi na kurejesha nguvu yake hata ingekuwa mimi.
Ni kweli Ndugai kuna moto amewasha, mama alitakiwa kuuzima kwa kukubali msamaha kidiplomasia, ila sasa mama naye kauwasha moto. Matokeo yake hapa sasa kuna limoto linawaka na linafukuta.
Nnachoona hapa soon tutasikia mayowe! Hatujui nani atapiga sasa, maana limoto linawaka
Nadhan rejea tena wewe kusoma katiba vizur na kwa utulivu misingi ya upatikanaji wa speaker ndiyo inayo halalisha kwamba akifutiwa uanachama anakosa sifa za kuwa mbunge na kwa vile uspika wake kaupata kutoka kwenye ubunge basi akiondolewa ianachama na kit cha uspika kakipotezaMkuu rejea vizuri katiba unaweza kuwa speaker pasipo kuwa mbunge ,,rejea Pius Msekwa
Mama amepaata data zote na vikao vyote walivyofanya sema mama amekosa kifua akaongea mapema kabla ya yeye kutega mtego wakeFukuto huko ndani ni kali sana
Usichokijua hii Vita hapigani Ndugai kuna genge kubwa nyuma yake ila yeye ametumika tu kuchafua hali ya hewa,wanasoma code za mama ili wajue wapi pa kuanziaHuwezi kusema mama kakosea,kila mtu ana principles zake katika kuhandle sensitive issues hivyo usilazimishe kwamba principles zako wewe ndo ziwe Sahihi,afterall mama hajaona sababu ya kuwa mnafiki,kachukia na kaonesha amechukia.
SSH kutokana na hotuba yake kiaina ni kama amemwelekeza ajiuzulu lakini kwa viongozi wa siasa za kiafrika ni ngumu kukubali mara moja bila shinikizo, ni Mwalimu Nyerere pekee aliyekuwa na ujasiri wa kukuangalia machoni na kukuambia moja kwa moja fulani Jiuzulu..Ndugai hawezi jiuzulu aisee.. Take it from me. Yaani uwarahisishie kazi?
ni kweli ingawa inategemea na muda ulionao km ni rafiki kuapply rule husikaAnyway, ila kumbuka tu huwa kuna General na Specific rules.. Mara nyingi ili huwe kwenye safe side, tumia General rules ambayo viongozi wengi huwa wanatumia..
Ameshajiuzulu mkuu Naantombe MushiNdugai hawezi jiuzulu aisee.. Take it from me. Yaani uwarahisishie kazi?