JAYJAY
JF-Expert Member
- Oct 31, 2008
- 8,191
- 8,490
Huyu mama matozo anaaminika huko kwao Zanzibar anakopeleka mabilioni ya wahisani kupageuza Dubai.Sema wewe ndio hamuamini ila tulio wengi hautuambii kitu kwa huyu Mama.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu mama matozo anaaminika huko kwao Zanzibar anakopeleka mabilioni ya wahisani kupageuza Dubai.Sema wewe ndio hamuamini ila tulio wengi hautuambii kitu kwa huyu Mama.
De facto. Hii ni Tanzania na spika ni mwajiriwa wa Rais. Habari ya mhimili huru ni porojo.Spika sio mtumishi wa Rais.
Amandla...
Binafsi namuombea Sana Mama apite salama katika wimbi hili na InshaAllah atatoboa tu,kwa kuwa wengi tumeshamuelewa (sauti ya wengi Ni sauti ya mungu), mkuu mbona iko wazi kwamba jamaa nyuma yake Kuna kundi?Usichokijua hii Vita hapigani Ndugai kuna genge kubwa nyuma yake ila yeye ametumika tu kuchafua hali ya hewa,wanasoma code za mama ili wajue wapi pa kuanzia
Jamaa kweli ni dhaifu...Ameshajiuzulu mkuu Naantombe Mushi