Shehullohi
JF-Expert Member
- Jul 21, 2020
- 3,753
- 3,685
Mambo ya uchifu ule wa kizamani wa vizazi vya kale vya mababu yalikuwa yaneenda sambamba na mizimu. Ikiwemo mizimu ya mvua. Ni eleweke vizuri uchifu wa stone age sijui huu wa electronic age.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
bandari yababaako? mwambie babaako akupe mavuzi yake. mpuuzi mmoja wewe unadirikije kumuita rais mshamba?Ujinga mtupu, Tunataka bandari yetu aache mambo ya kishamba shamba
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiri Tamasha la Utamaduni la Bulabo katika uwanja wa Redcross Ngomeni Kisesa mkoani Mwanza leo tarehe 13 Juni, 2023.
Akizungumza kwenye Tamasha hilo linaloashiria Mwanzo wa mavuno, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amewashukuru kwa mwaliko huo wa kujumuika na machifu wenzie, yeye akiwa chifu Mkuu (Chifu Hangaya).
Ameungana na wakulima hao kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa neema na baraka zake kwa kuwezesha wakulima hao kupata mavuno ya kutosha kwenye nyakati hizi mbaya za mabadiliko ya Tabianchi.
Niwe na gobole, halafu upitepite eneo langu uone kama kulinda nyumba yangu ni "kazi bure"!Nyumba isipolindwa na Mungu ailindaye akesha bure!
Zaburi 127:1-5
Wee ibanga. Kaa mbali na wanawake sasa hivi wamecharuka watakuuza Mara moja.bandari yababaako? mwambie babaako akupe mavuzi yake. mpuuzi mmoja wewe unadirikije kumuita rais mshamba?
Ni mshamba kama ulivyo wewe unayeandika ujinga ujingabandari yababaako? mwambie babaako akupe mavuzi yake. mpuuzi mmoja wewe unadirikije kumuita rais mshamba?
we unaendiga usio ujinga umekusaidia nini. kama bandali imeuzwa andamana tukutoe utumba mbwa wewe kazi kushinda kwenye mitandao kuleta taharukiNi mshamba kama ulivyo wewe unayeandika ujinga ujinga
Sasa hivi si wako likizo?? Au umesahau wanaojazaga uwanja?