Rais Samia: Machifu simamieni Maadili ya vijana wa Kitanzania
Kwanza kabisa hamna uwanja mkubwa unaojengwa pembeni ya mji.
Katika hali ya kushangaza Leo hii mama Samia ameshindwa kujaza uwanja mdogo wa michezo ulio pembeni ya jiji la Mwanza maeneo ya Kisesa.
Wengi ya waliodhuria mkutano huo ni makada wa CCM kutoka wilaya na mikoa ya jirani walioletwa na mabasi .
Uwanja huo mdogo ambapo hata mwanasiasa mwenye ushawishi wa wastani Kama Tundu Lissu hasingeshindwa hata kuufikisha 75%.
Baada ya mkutano huo mkuu wa mkoa wa Mwanza na mwenyekiti wa CCM walionekana waakijadiliana pembezoni ambapo kila mmoja alidai shida inaweza kuwa labda taarifa haikutoka kwa wakati au maandalizi hayakuwa mazuri.
Watu wengi mitaa ya pembeni waliokuwa wakiendelea na maisha yao Kama kawaida huku wawili watatu nilioongea nao walidai hawawezi kufunga biashara zao na kwenda kumsikiliza mama huku bandari inauzwa.
Hamjambo
Haya mambo ya mikutano ya hadhara nafikiri yafike mwisho.
Kama rais antaka kuongea na watu atumie Radio au TV na azungumze kwenye kumbi zamikutano.

mikutani ya hadhara iwe siku za kampeni tuu.

Watu wana mambo mengi ya maisha yao hawana na fasi ya kuja kila mara kwenye mikutano.

Tuamke
 
Kwanza kabisa hamna uwanja mkubwa unaojengwa pembeni ya mji.
Katika hali ya kushangaza Leo hii mama Samia ameshindwa kujaza uwanja mdogo wa michezo ulio pembeni ya jiji la Mwanza maeneo ya Kisesa.
Wengi ya waliodhuria mkutano huo ni makada wa CCM kutoka wilaya na mikoa ya jirani walioletwa na mabasi .
Uwanja huo mdogo ambapo hata mwanasiasa mwenye ushawishi wa wastani Kama Tundu Lissu hasingeshindwa hata kuufikisha 75%.
Baada ya mkutano huo mkuu wa mkoa wa Mwanza na mwenyekiti wa CCM walionekana waakijadiliana pembezoni ambapo kila mmoja alidai shida inaweza kuwa labda taarifa haikutoka kwa wakati au maandalizi hayakuwa mazuri.
Watu wengi mitaa ya pembeni waliokuwa wakiendelea na maisha yao Kama kawaida huku wawili watatu nilioongea nao walidai hawawezi kufunga biashara zao na kwenda kumsikiliza mama huku bandari inauzwa.
Amna mtu mwenye anayehangsika na huyo mama ,rais gani asiyejiua kuwa yeye ni rais kazi kulalamika tu badala ya kutatua changamoto za nchi yetu yeye akiona changamoto solution ni private sector
 
Kwanza kabisa hamna uwanja mkubwa unaojengwa pembeni ya mji.
Katika hali ya kushangaza Leo hii mama Samia ameshindwa kujaza uwanja mdogo wa michezo ulio pembeni ya jiji la Mwanza maeneo ya Kisesa.
Wengi ya waliodhuria mkutano huo ni makada wa CCM kutoka wilaya na mikoa ya jirani walioletwa na mabasi .
Uwanja huo mdogo ambapo hata mwanasiasa mwenye ushawishi wa wastani Kama Tundu Lissu hasingeshindwa hata kuufikisha 75%.
Baada ya mkutano huo mkuu wa mkoa wa Mwanza na mwenyekiti wa CCM walionekana waakijadiliana pembezoni ambapo kila mmoja alidai shida inaweza kuwa labda taarifa haikutoka kwa wakati au maandalizi hayakuwa mazuri.
Watu wengi mitaa ya pembeni waliokuwa wakiendelea na maisha yao Kama kawaida huku wawili watatu nilioongea nao walidai hawawezi kufunga biashara zao na kwenda kumsikiliza mama huku bandari inauzwa.
we kuna kitu kinakuwasha siyo bure. Katafute mkunaji sahihi huko mtaani kwenu. Hovyo kabisa, jinga kabisa, unawaza ujinga na upuuzi. Yule mtu wenu kashakufa mtahangaika sana hawezi kufufuka.
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amewaagiza Machifu wote nchini kusimamia mila, desturi na tamaduni katika maeneo yao na kuhakikisha vijana wanaelewa umuhimu kwa kuenzi utamaduni wa Taifa na kuwa na maadili mema.

Rais Samia ametoa maagizo hayo leo Juni 13, 2023 katika Viwanja vya Redcross Bujora alipofungua Tamasha la Bulabo lililoandaliwa na Kituo cha Utamaduni wa Wasukuma Bujora ambapo amesisitiza jamii kulinda mazingira kwa kuwa ni utamaduni uliorithishwa tangu vizazi na vizazi pamoja na kusitiza jamii kujivunia lugha, mavazi, vyakula vya asili pamoja na tiba asili.

"Utamaduni ni kivutio cha utalii, ni lazima sekta hizi zifungamane, kuwe na muendelezo wa matamasha mengi katika jamii zetu ili kuvutia watalii wengi kuja kuona na kujifunza utamaduni wetu, na hapa nazikaribisha Sekta Binafsi kuunga mkono Matamasha haya" amesema Mhe. Samia.

Rais Samia, ameagiza Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo kupitia upya Sera ya Utamaduni ya mwaka 1997 na kuona kama inaenda sawa na wakati wa sasa ili kama sivyo ifanyiwe marekebisho mapema na haraka iwezekanavyo.

Awali akimkaribisha Mhe. Rais Samia, Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana amesema Tamasha hilo linahudhuriwa na washiriki takriban 7,000 kutoka mikoa mbalimbali na litajumuisha ngoma za asili, maonesho ya utamaduni na elimu ya ukatili wa kijinsia.

Mhe. Pindi ameongeza kuwa, Wizara inaendelea kuratibu matamasha mbalimbali ikiwemo Tamasha la Muziki la Cigogo Dodoma, Tamasha la Kuchekea la Mkoa wa Lindi, Tamasha la Kizimkazi Dimbani Zanzibar, Tamasha la Ngoma za Asili linaloratibiwa na Tulia Trust mkoani Mbeya na mengine mengi.

Naye Mkurugenzi wa Makumbusho ya Bujora, Padri Anania Mukanzabi amesema lengo la Tamasha hilo lililoanzishwa Sumve Wilaya ya Kwimba mwaka 1940 ni kufanya sherehe za kumshukuru Mungu kwa mavuno mapya, ambapo amesema Tamasha hilo limeendelea kufanyika kila mwaka.View attachment 2656470View attachment 2656471
IMG-20230613-WA0173.jpg
View attachment 2656474View attachment 2656476View attachment 2656475View attachment 2656473View attachment 2656477View attachment 2656478
IMG-20230613-WA0176.jpg
 
Hadi namuonea huruma Hangaya wa watu. Anapambana nchi isimfirisikie.
 
Mnahangaika kulima, kupalilia na kung'oa magugu. Jasho mpaka kwenye makalio halafu mtu akupangie pa kuuza? Ambae hana chakula nae akalime, ambae hana Samaki nae akavue samaki asiye na nyama nae akafuge.

20230614_064747.jpg
 
Maskini maza ameona kauli ya kufungua nchi imeleta njaa, anabadili gia angani

Japo msisitizo wake hautakua sawa na bwana jiwe
 
Angalia hiki kilimo cha ndizi. Soko la ndizi ni kubwa duniani.

Ardhi yenye rutuba ipo na ni ya kutosha. Tuna vyanzo vingiii vya maji. Sasa tunafeli wapi?

Screenshot_20230614-074600_Facebook.jpg
FB_IMG_1686717990969.jpg
FB_IMG_1686717988051.jpg
FB_IMG_1686717985143.jpg
FB_IMG_1686717979327.jpg
FB_IMG_1686717975682.jpg
FB_IMG_1686717972427.jpg
FB_IMG_1686717969041.jpg
 
Unataka mkulima apeleke mazao akiwa amebeba kichwani mpaka Somalia?
We unaleta ligi ukiwa zako huko Kariakoo ambako hakuna shamba hata moja. Njoo huku ujionee wakulima waliovuna juzi leo hawana chakumemena wanakula makofi tu.
 
Back
Top Bottom