Rais Samia: Machifu simamieni Maadili ya vijana wa Kitanzania
IMG_7842.jpg
 
CCM bana Huwa hawajazi viwanja ila wanajazaga masanduku ya kura.Work smart not Hard.
 
Hata UVCCM unawaona Huku? Ndio picha yenyewe.
CCM kama inataka kuongoza nchi hii ninawashauri 2025 ilete mgombea Huyu mama kashavuruga Hali ya hewa
Safari hii hata wamlete nani kwawalichowafanyia Watanzania hata Mungu atasaidia
 
CCM haijawahi kukubalika huwa inajaza mikutano kwa kutumia mafuso na awamu ya tano ilikuwa inatumia ukabila kujaza viwanja huko kanda ya Ziwa.
 
Acha upotofu ndo nyinyi inabidi mushughulikiwe kama walivyosema.. Maana yake nini
 
Nipo Mwanza kwenye msiba. Mazungumzo makubwa ya watu ni kuuzwa kwa bandari.

Kuna jamaa, watu wanasema ni kada mwaminifu wa CCM, alikuwa akiongea kwa sauti kubwa, akawa anasema, "mimi na Mbowe mbalimbali lakini kama watasimama kupinga huu uporaji wa bandari zetu, kwa mara ya kwanza nitasimama kwa uwazi kuiunga mkono CHADEMA". CHADEMA, wasituangushe.

Alipotoka watu wakawa wanasema, 'kama na huyu amefikia kutamka haya, basi hili jambo litakuwa limewakwaza sana watu. Huyu ungemwambia nini kuhusiana na kiongozi wa CCM akusikie. Haya kweli ni mabadiliko makubwa'.

Kwa jinsi watu walivyoudhiwa na jambo hili, yeyote akiitisha maandamano kupinga, inaonekana watu hawataangalia ameitisha nani. Sijawahi kuona mshikamano mkubwa dhidi ya huu uamuzi wa kijinga uliofanywa na hawa washenzi wa bungeni.
 
Back
Top Bottom