Mambo ya uchifu ule wa kizamani wa vizazi vya kale vya mababu yalikuwa yaneenda sambamba na mizimu. Ikiwemo mizimu ya mvua. Ni eleweke vizuri uchifu wa stone age sijui huu wa electronic age.
 
Vikundi vya Ngoma vya Buyegu, Basesilia, Matwi, na Kwaya ya Utumishi wa Umma kutoka Mwanza wakitumbuiza katika Hafla ya Ufunguzi wa Tamasha la Bulabo Mwanza unaofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Juni 13, 2023 katika Viwanja vya Kisesa Wilaya ya Magu.

Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana, Viongozi mbalimbali, Machifu na wananchi wamehudhuria ufunguzi huo.

Tamasha hilo litaendelea hadi Juni 17 kwa burudani ya Ngoma mbalimbali, elimu ya Ukatili wa Kijinsia na maonesho ya wajasiriamali.View attachment 2656155View attachment 2656156View attachment 2656158View attachment 2656157View attachment 2656159View attachment 2656160View attachment 2656161View attachment 2656162
 
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Kwanza kabisa hamna uwanja mkubwa unaojengwa pembeni ya mji.

Katika hali ya kushangaza Leo hii mama Samia ameshindwa kujaza uwanja mdogo wa michezo ulio pembeni ya jiji la Mwanza maeneo ya Kisesa.

Wengi ya waliodhuria mkutano huo ni makada wa CCM kutoka wilaya na mikoa ya jirani walioletwa na mabasi .
Uwanja huo mdogo ambapo hata mwanasiasa mwenye ushawishi wa wastani Kama Tundu Lissu hasingeshindwa hata kuufikisha 75%.

Baada ya mkutano huo mkuu wa mkoa wa Mwanza na mwenyekiti wa CCM walionekana waakijadiliana pembezoni ambapo kila mmoja alidai shida inaweza kuwa labda taarifa haikutoka kwa wakati au maandalizi hayakuwa mazuri.

Watu wengi mitaa ya pembeni waliokuwa wakiendelea na maisha yao Kama kawaida huku wawili watatu nilioongea nao walidai hawawezi kufunga biashara zao na kwenda kumsikiliza mama huku bandari inauzwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…