Rais Samia: Mijadala Bungeni haina afya kwa Taifa. Tufanye kazi kama Bunge linavyotakiwa kufanya kazi

 
Sijui kama wamemwelewa

CC: kifimbo cheza
 
Saafi sana mama yetu....!!!
Sasa ni wakti wa SPIKA NDUGAI na Naibu wake Wabadilike vinginevo KURA YA KUTOKUWA NA IMANI NAO INAWAHUSU!!!
Kuna Wabunge wapuuzi kama kina Vibajaj, Msukuma na Class 7 wengine wanafikiri bado tuko Utawala wa Hayati Magufuli!
Mbunge badala ya kujikita kwenye HOJA anaanza KUSHAMBULIA WABUNGE WASOMI NA WABUNGE WA UPINZANI!!
Nimemsikia Kibajaj ANAMSHAMBULIA MHE. MBOWE M/KITI CHADEMA(T) KUWA ATI M/KITI GANI ANA MBUNGE 1! Huu ni uhuni na kukosa hekma na kujenga hoja!
 
Mama yanayoendelea anayaona na kumshangaza kwani anaowangaa awaangalii umri wao kuendana na wanayoyafana
 
Mama kama mama, Ironlady na Rais Samia Suluhu Hassan 💥♥️😍
Waambie waache kusututana mama..... wafanye kazi za wananchi
Unajua maana ya Iron Lady? Ebu msome Magreth Thatcher au Golder Meyer ndio utajua maana ya Iron Lady. Mama bado! Tusubiri baada ya siku 100 na kuendelea.
 
Sijui kama wamemwelewa

CC: kifimbo cheza
Darasa la 7 kuelewa ni kazi sana.....!!!
Halafu Spika alivo poyoyo anawapa ATI MUDA WA BONASI ILI WAONGEE UTUMBO....!! HILI NI BUNGE AU BANGE????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…