Rais Samia: Msikubali wanaotaka kuanzisha chokochoko, pakichafuka ni wewe utakayekaa ndani

Unaongea kana kwamba umekatwa kichwa, wewe kipindi cha meko ungeomba kibali upewe?hata sasa juzi tu wadada na wamama wameenda chakula cha jioni tu ndani ya ukumbi ona polic walivo jaa nje nyie rukaruka tu ila ujue ujinga ndo bas
Sasa huyo Samia mtamnyoaje mkiwa waoga hivi?
 
Twende na katiba mpya , inakuja hakuna wa kuzuia, asema bwana, chokochoko ya katiba ndo habari ya town,
 
Unaongea kana kwamba umekatwa kichwa, wewe kipindi cha meko ungeomba kibali upewe?hata sasa juzi tu wadada na wamama wameenda chakula cha jioni tu ndani ya ukumbi ona polic walivo jaa nje nyie rukaruka tu ila ujue ujinga ndo bas
Mmmmh!
 
Taratiiiibu ashaanza kunogewa .

Soon atafungulia mbwa[emoji1][emoji1787].

I never trusted her and never will.

Urais mtamu nyie .

Soon tutaelewana

She's there to fake .

Gonna fake as usual as her precedeccors did.
 
Yaan chadema hamna jipya kbs eti maandamano mpaka mpewe kibaki na huyo msie mpenda duh
Wewe mjinga, hao wote wanaongea ni Chadema? Usiwe mlopokaji kama kichaa

Hivi huyu ni Chadema 👇👇
 

Attachments

  • twitter_20210702_214920.mp4
    867.3 KB
Kila la heri mama Mungu akuongoze kwenye majukumu yako...ila tunaomba katiba mpya uipitishe...
 
Mtag mbowe aone huu uzi.
 
Kiukweli kwa ninavyoijua thamani ya Mama,Polisi naomba mniorodheshe kwenye nguvu kazi yenu.Vijana tushachoka Usenge NEO-COLONIALISM.Wagawanye ili uwatawale ndo formula ya Wazungu Sasa Mama Samia Piga kazi vijana wengi tz tupo nyuma yako Mama yetu.Polisi nawashauri,hasa Mijini ambako waanzisha chokochoko ndiko wanakong'ang'ania kuliamshia dude.Polisi piteni Kitaani kuandaa Nguvu ya akiba Mapema msiwaache waanzisha chokochoko wasambaze ujinga na nyie msaidieni mama njoo mchukue namba zetu za simu.Tunaonyanyua Jimu tupo wengi ili tuwasaidieni kiwatuliza watukutu uchwara hawa.
 
Kwahiyo kabla ya Hayati Magufuli kuingia madarakani hapakuwa na umuhimu wa Katiba Mpya ?

Sent from my TECNO KE5 using JamiiForums mobile app
 
Kwanza watanzanja si wajinga, yeye ndio alianza chokochoko yeye anafikiri kauli aliyoitoa ya kuzua haki ya kufanya mikutano kwa vyama vya siasa sio chokochoko?
 

..hoja ya katiba mpya imewekwa mezani na response ya Rais SSH ndiyo hiyo.

..nadhani amegundua hoja ya jinsia haina mashiko kwake.

..madai kwamba wapinzani wanataka kuvuruga amani ni ya muda mrefu, lakini facts on the ground zinaonyesha kwamba wapinzani wa Tz ni wapole sio wafanya vurugu.

..Ngoja tuone atafika wapi na haya madai yake ambayo si ya kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…