Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnataka kiongozi aina ya JPM tena?Wimbi la KATIBA Halizuiliki
Kuzulumatism wanachama NSSF ni matokeo ya katiba tuliyonayo
Kwa hisani ya Mutu ya MAREKANI
eti Mabeberu ....
Rais Samia amewataka wananchi wa Morogoro wasikubali chokochoko zinazoanzishwa na baadhi ya watu.
Amesema hao wanaotaka kuanzisha vurugu wameshaandaa na wanajua watakavyojitibia ikitokea wamepata madhara.
Amewataka wananchi kutokubali na kutunza amani iliyopo. Amesema hayo akiwa Morogoro kwa ziara ya siku mbili.
NB: Possibly Rais anawaasa wanaotaka katiba mpya.
Siyo threats, watu wawe na adabu, hilo ni jambo gumu sana kwenu?Ameanza threats naye kwa jina la amani
Acha kyogopesha watu wewe hata ukilala mwisho ni upi kama si kifo. Nyie ndo mmefanya taifa lifike hapa kwa kujikomba na uchu nchi hii haiko sawa bila kupata watu ambao wapo tiyar kwa lolote hamna kitaendelea. Na ww unayejifanya kusifia hali ikichafuka nawe utavutwa masikio. Nimemaind sana kwa mchango wako.Salam zimfikie Mdude Nyagali sifa za kijinga zitamtokea puani. Ataenda jela peke yake sisi tutamuweka hashtag tu huku tunalala na familia zetu wakati yeye analala chini ya ulinzi.
Acha kyogopesha watu wewe hata ukilala mwisho ni upi kama si kifo. Nyie ndo mmefanya taifa lifike hapa kwa kujikomba na uchu nchi hii haiko sawa bila kupata watu ambao wapo tiyar kwa lolote hamna kitaendelea. Na ww unayejifanya kusifia hali ikichafuka nawe utavutwa masikio. Nimemaind sana kwa mchango wako.
Sijaona mahala popote vurugu, kama ni maandamano ya kudai katiba mpya ndadhani maandamano yapo kisheria as long wapate kibali, kama ni mikutano ya siasa katiba imetoa haki kwa vyama vya siasa kufanya mikutanoMwanao akileta vurugu na kuhatarisha usalama wa ndani kwako hapo huwa unafanyaje? Au sababu ni mtoto ana haki ya kucheza akianza utundu na vurugu unatakiwa umtazame tu😎
Mmewahi kuomba kibali utawala huu na mkanyimwa?Sijaona mahala popote vurugu, kama ni maandamano ya kudai katiba mpya ndadhani maandamano yapo kisheria as long wapate kibali, kama ni mikutano ya siasa katiba imetoa haki kwa vyama vya siasa kufanya mikutano
Anaevunja katiba ndie anaechochea vurugu
Hamna nidhamu ya kufanya siasa zenye akili timamu mnafanya siasa za kuhamasisha vurugu! Usjitie wazimu kama vile hujui siasa za CHadema zilivyo!Sijaona mahala popote vurugu, kama ni maandamano ya kudai katiba mpya ndadhani maandamano yapo kisheria as long wapate kibali, kama ni mikutano ya siasa katiba imetoa haki kwa vyama vya siasa kufanya mikutano
Anaevunja katiba ndie anaechochea vurugu
Kamuulize.mbowe kama ameomba kibali, hapa niliwrka reference ya mama kusema kwamba mikutano ya siasa isifanyike mpaka atakapomaliza kusimamisha uchumi, ndio maana nikasema anaesababisha chokochoko ni anaevunja katibaMmewahi kuomba kibali utawala huu na mkanyimwa?
Ni jukumu la vyombo vyetu vya ulinzi na usalama kupambana na magenge ya uhalifu, kama imefika mahali serikali inaogopa upinzani mpaka katiba inavunjwa basi nchi yetu haipo salama, badala yake mimi ningeshauri vyama pinzani vifutiwe usajili kama chadema ndio chanzo cha vurugu na uvunjifu wa amani, mnapoendelea kuwaacha mnahatarisha amani ya nchi kama mnavyoamini na pia mnaleta sintofahamu kwa kuwapoka haki yao ya kufanya mikutano ya siasa, to be i a safe side futilieni mbali mbaki wenyeweHamna nidhamu ya kufanya siasa zenye akili timamu mnafanya siasa za kuhamasisha vurugu! Usjitie wazimu kama vile hujui siasa za CHadema zilivyo!
Mkiachiwa huo uhuru yataundwa magenge ya wavuta bange ambao watafanya fujo na kuharibu amani na utulivu wa nchi na kuwadhibiti kwake itabidi mpigwe vibaya mno thereafter mtaenda kuchafua taswira ya nchi kwa kusingizia mmepigwa wakati mnaandamania katiba!
Kufanya mikutano ya hadhara inahitaji kibali ili mlindwe, fanyeni hivyo ili tuone jibu mtalopewaKamuulize.mbowe kama ameomba kibali, hapa niliwrka reference ya mama kusema kwamba mikutano ya siasa isifanyike mpaka atakapomaliza kusimamisha uchumi, ndio maana nikasema anaesababisha chokochoko ni anaevunja katiba
Hata akina mbowr wasipoomba kibali nao wanavunja katiba kwa hiyo suala la haki na usawa ni la pande zote
Anaanza kupita kulekule ambako HAKUPITIKI.....Ameanza threats naye kwa jina la amani