Rais Samia: Msikubali wanaotaka kuanzisha chokochoko, pakichafuka ni wewe utakayekaa ndani

Rais Samia: Msikubali wanaotaka kuanzisha chokochoko, pakichafuka ni wewe utakayekaa ndani

Niwaombe sana tulinde amani, vijichokochoko vimeanza naomba msivipokee, wanaokuja na vijichokochoko walishajua matumbo yao yanajaaje, chakula chao wanatoa wapi, pesa za matibabu watatoa wapi, nawaomba wasije wakawaingiza kwenye huo mkenge”

“Pakichafuka ni wewe utakayekaa ndani na Watoto wako na Mama Watoto na msijue chakula mnatoa wapi, msijue Mtoto akiumwa mtakwenda kumtibu na pesa gani, niwaombe sana tulinde amani yetu, Nchi yetu itulie tuendelee na maendeleo yetu..... Samia akiwa Morogoro leo
 
Niwaombe sana tulinde amani, vijichokochoko vimeanza naomba msivipokee, wanaokuja na vijichokochoko walishajua matumbo yao yanajaaje, chakula chao wanatoa wapi, pesa za matibabu watatoa wapi, nawaomba wasije wakawaingiza kwenye huo mkenge”...
Hizo zilikua fikra za magufuli naona mama anaziendelza
 
Hizo zilikua fikra za magufuli naona mama anaziendelza
Mwanao akileta vurugu na kuhatarisha usalama wa ndani kwako hapo huwa unafanyaje? Au sababu ni mtoto ana haki ya kucheza akianza utundu na vurugu unatakiwa umtazame tu😎
 
Vijichoko choko [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Back
Top Bottom