Rais Samia: Msikubali wanaotaka kuanzisha chokochoko, pakichafuka ni wewe utakayekaa ndani

Walikuwa wanatka wafurahishwe tu
Yaani mimi kudai katiba mpya ambayo itamzuia Samia kutamba waziwazi mbele ya Watanzania bila aibu wala haya usoni kuwa hata kama CCM itashindwa uchaguzi itaunda serikali kwa kuiba kura ni chokochoko na kuvunja amani?Huyu Mama amechanganyikiwa?!
 
Mama hao sio wa kucheka nao wapige pin kama kama walivyopigwa pin na JPM

Si unaona umewapa Uhuru kidogo

Wengine wanakuambia Watakunyoa kama walivyomnyoa JPM

Wangine wanaandaa maandamo nchi nzima kudai katiba mpya

Wengune wapo kwa babeberu wao huko wansema watakuja kufanya mikutano utake au usitake



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tumekubaliana kua KATIBA MPYA imekaa kisiasa zaidi.
 
Chdema Ni mbowe na mbowe Ni chadema hlf wanadai demokrasia mpaka mwekiti wao anasema anafikiria kuachia 2023 yaan anafanya kwa matakwa yake duh

..hata ccm hawana kipengele cha ukomo wa muda wa uongozi wa mwenyekiti.

..ndio maana nyerere aliendelea na uenyekiti wa chama hata baada kung'atuka kwenye uraisi.

..ccm msiwacheke ndugu zenu wa chadema.
 
Reactions: BAK
Muda utatupa majibu mazuri na sahihi zaidi kuliko mdomo wa binadamu yoyote.
 
Wapi nilipoandika mimi naenda na Samia? 😳😳😳
Huwezi kufanya kazi katika mazingira ya udikteta na dhuluma.
Kutoa haki na uhuru kwa kufuata vipengele vya katiba HAKUMZUII kufanya kazi zake. Asitafute visingizio visivyo na kichwa wala miguu ili kuminya HAKI na UHURU wa Watanzania pamoja na vyama vya siasa kama ulivyo ndani ya Katiba.

2025 hamuendi tena na mama??
Si mlikuwa mnamsifu sana alipoingia madarakani!

Muacheni mama achape kazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Katiba mpya muhimu mno mkuu wazolee lakini isitumike power na kauli chafu...huyo mdude alichokifanya kwa mama sio sawa hata kidogo, kama mimi ndie mwenyekiti wa chadema namfukuzia mbali, hafai kuwa kiongozi.


Mungu asaidie katiba mpya ipitishwe
 
Kwahiyo Uhuru mnaoutaka ni wakina Mdude kuporomosha matusi??
Hakuna njia nzuri za kudai haki zao pasi na kuporomosha matusi?

Muacheni mama achape kazi,msitake kumpelekesha,,ana ratiba zake na vipaumbele..
Mbona mnataka kumpelekesha wakati alishasema mumpe muda!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo Uhuru mnaoutaka ni wakina Mdude kuporomosha matusi??
Hakuna njia nzuri za kudai haki zao pasi na kuporomosha matusi?
Magufuli alivyokuwa anatukana watu kuwa wabaki na mavi yao nyumbani au Kheri James alivyokuwa anawaporomoshea matusi Watanzania ulikemea haya?
Your browser is not able to display this video.


Muacheni mama achape kazi,msitake kumpelekesha,,ana ratiba zake na vipaumbele..
Mbona mnataka kumpelekesha wakati alishasema mumpe muda!

Sent using Jamii Forums mobile app
Vipaumbele vyake ni vya chama chake pamoja na ilani ya chama chake,vinatuhusu nini sisi wananchi?

Sisi wananchi tunataka katiba ambayo itamzuia Samia kutamba mbele za Watanzania bila haya usoni kuwa CCM isiposhinda itaiba kura na kuunda Serikali kwa mabavu.

Tunataka katiba ambayo itamwajibisha Samia pale atakapoikanyaga waziwazi katiba anayotumia kuapa kama anavyofanya hapa.

Samia kwa maneno yake mwenyewe amethibitisha kuwa ni dikteta na hafai kuwa Rais wa Tanzania.
 
Sasa nyie mlisema mtatumia wembe wa kunyolea Sasa wembe na katiba mpya mbona vitu viwili tofauti?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…