Taifa la watu mil 60 mnatikiswa na Mdude NyagaliSalam zimfikie Mdude Nyagali sifa za kijinga zitamtokea puani. Ataenda jela peke yake sisi tutamuweka hashtag tu huku tunalala na familia zetu wakati yeye analala chini ya ulinzi.
Wapinzani wa bongo ukishaanza tu kuwachekea sana wanakuona mjinga..Mambo dear, mam alikuwa fair kwao wakaanza kumchezea chezea wakifikiria mama ni mwepesi acha wanyooshwe tu bana
Yaliyomo kwenye ilani ndiyo yanayowahusu wananchi..Magufuli alivyokuwa anatukana watu kuwa wabaki na mavi yao nyumbani au Kheri James alivyokuwa anawaporomoshea matusi Watanzania ulikemea haya?
View attachment 1845149
View attachment 1845150
Vipaumbele vyake ni vya chama chake pamoja na ilani ya chama chake,vinatuhusu nini sisi wananchi?
Sisi wananchi tunataka katiba ambayo itamzuia Samia kutamba mbele za Watanzania bila haya usoni kuwa CCM isiposhinda itaiba kura na kuunda Serikali kwa mabavu.
Tunataka katiba ambayo itamwajibisha Samia pale atakapoikanyaga waziwazi katiba anayotumia kuapa kama anavyofanya hapa.
Samia kwa maneno yake mwenyewe amethibitisha kuwa ni dikteta na hafai kuwa Rais wa Tanzania.
View attachment 1845154
Huku kwenye keyboard ndiko tulikomchakaza Mwendawazimu mpaka akazima mitandao.. katiba mpya ni lazima.Mtamchakaza kwenye keyboard katiba hakuna andamaneni
Unategemea uachwe kwenye hilo??
Vipi mwenzetu, yaani ufanye ya kijinga uachwe tu?
Bavicha ndio wanaotaka kuleta vita, lala nao mbele hao hawana maana
Wameambiwa wasubiri na haipo kwenye ilani sasa wao wanaleta mdomo Kisa huruma ya Rais,watakula chumaDawa ni kufuata sheria ili kuepuka hizo chokochoko, ila mkiwaumiza wanaoleta chokochoko wanaofuata sheria ili kudai haki zao mnawaonea, tumieni madaraka yenu vizuri kwa kuheshimu haki za wengine.
Ajiandae kuzima mitandao tutamfanya kitu mbaya sana , mpaka ajute kuwa Rais wa nchi hii. Umama wake afanye na nyie MATAGA wake.Yaliyomo kwenye ilani ndiyo yanayowahusu wananchi..
Kama mnadhani matusi yatawapa katiba mpya basi endeleeni kutukana.
Halafu kama nyie mashujaa jitoeni kimasomaso ingieni mtaani,,siyo mnaongea tu huku kwenye keyboard na I'd feki mmejificha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Inategemea unaidai vipi!Kudai katiba mpya ni kutaka kuharibu amani ya nchi? Ni hivi, hiyo mama urais wake ni wa urithi, hivyo sitegemei aamue lolote tofauti na genge la yule kiongozi muovu kwani ndio linalomzunguka. Hivyo wanaodai katiba mpya wasiaachie, washikilie hapo hapo maana ni madai halali.
Wapigwe chuma tuu hao,saizi ni uchumi kwanza
Usawa gani umeukosa wewe??Ajiandae kuzima mitandao tutamfanya kitu mbaya sana , mpaka ajute kuwa Rais wa nchi hii. Umama wake afanye na nyie MATAGA wake.
Sisi tunataka usawa utaoletwa na katiba mpya.
Tia ndani tuu hao akina Mbowe na wale wa Ubelgiji wakapumzike..wameambiwa watulie uchumi upae wanapiga kelele eti maandamano .Chokochoko ziwe za kisheria au za kihuni zote zinaleta taharuki na kama mnavyojua huyu mnyama “taharuki” ambavyo hakubaliki na serikali ya JMTz!
Since 1992 inadaiwa, ni ustaarabu gani haujatumika, mbona haijapatikana? Kimsingi inadaiwa kistaarabu, ila genge lisiloitaka kwa uchu wao wa madaraka ndio wanataka kuchafua hali ya hewa.Inategemea unaidai vipi!
Sawa tunakusubiria front sio kwenye mitandao kama hivi,eti wengi na ww utakuwemo au wewe ni motivational speaker? 😆😆Kama ni kupiga chuma mbona mtapiga wengi sana, lakini katiba mpya ni lazima maana ni madai halali na hayatakoma. Mfano mrahisi yule kiongozi muovu aliye motoni aliagiza Lisu wauwawe, mbona bado Lisu yuko hai anadai hiyo katiba mpya?
Kipindi cha ukuta, kiongozi sikukuona barabarani aisee, kwa sasa kunatofauti gani na kipindi hiko aiseeKama ni kupiga chuma mbona mtapiga wengi sana, lakini katiba mpya ni lazima maana ni madai halali na hayatakoma. Mfano mrahisi yule kiongozi muovu aliye motoni aliagiza Lisu wauwawe, mbona bado Lisu yuko hai anadai hiyo katiba mpya?
Unauliza majibu, usawa gani ,, mnavyo vuruga chaguzi na mbeleko ya majeshi,Usawa gani umeukosa wewe??
Alishasema wanaoanzisha chokochoko watawaponza.
Sisi tunaenda na mama.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiustarabu hapo sawa, ila msimamo wa mh, ulishatangazwaSince 1992 inadaiwa, ni ustaarabu gani haujatumika, mbona haijapatikana? Kimsingi inadaiwa kistaarabu, ila genge lisiloitaka kwa uchu wao wa madaraka ndio wanataka kuchafua hali ya hewa.