Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
Jiandae na mkutano na mh.Rais SSH....Kwa hiyo hayo ndiyo yalikuwa malipo ya kutodai katiba mpya?
Aliyafanya hayo kuwafurahisha hao watu wasimsumbue kudai katiba?
Kama hayo ndiyo yalikuwa matarajio yake, ajue kakosea sana. Hakuna kilicho muhimu kushinda katiba inayolinda haki za wananchi wote.
Hatuhitaji fadhira za mtu mmoja kuamua lipi jema na lipi baya kwa watu milioni sitini na zaidi.
Kwanini mnafikiria mambo mabaya ya kuuana ?!!!Akianza kuua raia wake kwa kudai katiba mpya, sijui huo uchumi ataujenga vipi!
Ina maana gani ya kwenda kupata "Comfort', na itakuwaje 'comfort' kama mikutano hiyo haikidhi mahitaji?Jiandae na mkutano na mh.Rais SSH....
Mtakwenda na hizo ajenda zenu....yeye ni CHIEF COMFORTER...atawasikiliza vyema tu....UTEKELEZAJI UTABAKI JUU YAKE...
Kwani mtamlazimisha utekelezaji ?!!!
Maaaweeeee......
Hahahah kumbe hamna lolote 😅😅😅[emoji38]
Ukiwa jf unaweza dhani TANZANIA inatekwa[emoji38][emoji38]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiongozi anapoanza kutumia misamiati kama hiyo ya "chokochoko" ni dalili kwamba ameanza kushindwa na hoja zinazoelekezwa kwake. Hatua zinazofuata ni kujaribu kukandamiza ili kuzima hoja asizoweza kuzijibu kwa hoja.Kwanini mnafikiria mambo mabaya ya kuuana ?!!!
Tatizo lenu mnapenda sana siasa za "THESIS + ANTI-THESIS=SYNTHESIS".....
MPAMBANAJI haogopi lolote.....
#NchiKwanza
#ChokochokoSiKituKizuri
Mikwara mitupu 🤣🤣Ina maana gani ya kwenda kupata "Comfort', na itakuwaje 'comfort' kama mikutano hiyo haikidhi mahitaji?
Utekelezaji..., ataachia tu hakuna namna.
Sasa hivi atajitahidi kutafuta njia tu za kupitia asionekane kuwa 'ka'capitulate'. Mshauri asijiweke sehemu ngumu akakosa pa kutokea na heshima zake.
Na hilo litaendelea hata sasa 😅😅😅 ajiandae tuHapa ndipo atakapokuja kupotezea lengo.
Njia yake ya rahisi kabisa ilikuwa ni kuendelea na danganya toto, huku siku zikienda.
Kikwete alimudu sana njia ya kuwapoza wapinzani, na hakuna lolote lililoharibika kwa upande wa CCM.
Huu "uoga" wa wapinzani mwishowe utaanza kupungua watakapoanza kuona dalili za wananchi wakiwapa moyo wa kusonga mbele.
Uoga wa wapinzani siku zote unatokana na kukosa alama za wazi za kuungwa mkono na wananchi katika hayo wanayoyapigania.
Unaweza kujikumbusha hilo jinsi Mbowe alivyoachwa solemba pale Kinondoni, ikiwa kama mfano mzuri.
Mbowe aliongea maneno makali sana...mfano "hatutokubali hatutokubali..."Kiongozi anapoanza kutumia misamiati kama hiyo ya "chokochoko" ni dalili kwamba ameanza kushindwa na hoja zinazoelekezwa kwake. Hatua zinazofuata ni kujaribu kukandamiza ili kuzima hoja asizoweza kuzijibu kwa hoja.
Hoja zipi amesema anajenga uchumi kwanza take it! Mambo ya katiba atayashughulikia kwa wakati maalumu. Hilo jibu hamlitaki sasa mnachotafuta nini kama si chokochoko? Mwendazake alisema kuna watu wanawashwa washwa!Kiongozi anapoanza kutumia misamiati kama hiyo ya "chokochoko" ni dalili kwamba ameanza kushindwa na hoja zinazoelekezwa kwake. Hatua zinazofuata ni kujaribu kukandamiza ili kuzima hoja asizoweza kuzijibu kwa hoja.
Huyu mama sio katili ila mnamtafuta upande wake wa ukatili tu! Atawaonesha soonhakuna jipya mkuu, huyu muda si muda atakuwa hatakatili kuliko jpm, lakini kaa tuliomba mungu kamuondoa jpm , sioni sababu ya yeye akileta taabu tunarudia yule yule mungu, tz sio mali ya ccm
"Muwasho"Hoja zipi amesema anajenga uchumi kwanza take it! Mambo ya katiba atayashughulikia kwa wakati maalumu. Hilo jibu hamlitaki sasa mnachotafuta nini kama si chokochoko? Mwendazake alisema kuna watu wanawashwa washwa!
Alipowapatia the right dosage wakaufyata😅"Muwasho"
🤣🤣
🤣Huyu mama sio katili ila mnamtafuta upande wake wa ukatili tu! Atawaonesha soon
Mwache kitachofata atakifurahia🤣
Mimi muoga ...
Nakimbiza "mabawa yangu".....
Yaani kuna watu wana "mishipa jamani".....yaani MDUDE bado tu anatamba kwa maneno makali ?!!!
Mmh 🤣
Maisha yana thamani kubwa mno.... nashangaa wako WANAOYAFANYA kuwa "maigizo" 🤣Alipowapatia the right dosage wakaufyata😅
Hahahahaha alikubali mzikiMaisha yana thamani kubwa mno.... nashangaa wako WANAOYAFANYA kuwa "maigizo" 🤣
Mwenyewe Sheikh Msellem bin Ali wa UAMSHO alipotoka tu rumande akasema "huwezi kushindana na mwenye nguvu....,akisema hapo acheni basi sisi tutaacha"
We acha tu....Hahahahaha alikubali mziki
Uliishi wewe Na hiyo Amani yakoRais umenena kweli hakuna nchi inaendelea katikati ya vita au vurugu lolote. Kimsingi dola ipo ili kudhibiti hali hiyo. Miaka 60 ya uwepo wa Tanzania tumeishi kwa amani kwa umakini wa Viongozi wetu na raia wake. Bravo Madame.
Naona leo uko kwenye 'special assignment', maanake nimekuona kitambo hata kama mwelekeo wako ni wa 'kipopo' vile.Hoja zipi amesema anajenga uchumi kwanza take it! Mambo ya katiba atayashughulikia kwa wakati maalumu. Hilo jibu hamlitaki sasa mnachotafuta nini kama si chokochoko? Mwendazake alisema kuna watu wanawashwa washwa!
Sawa mkuu unaweza kuwa mkweli ila haimanishi upo sahihi! Mie sina tatizo na katiba mpya ila nina tatizo na wanaotumia lugha za sokoni kujitapa kuwa wanadai katiba mpyaNaona leo uko kwenye 'special assignment', maanake nimekuona kitambo hata kama mwelekeo wako ni wa 'kipopo' vile.
Mfano mzuri ni haya maneno uliyoandika hapa kunijibu mimi.
Sasa sijui unataka niseme nini juu ya hiyo unayoiita wewe hoja. Kipimo cha uchumi anaojenga ni kipi, unakijua wewe?
Basi, kama wewe unadhidhika na jibu la kipuuzi namna hiyo, huenda na wewe ukawa ni mpuuzi tu!