Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
Jiandae na mkutano na mh.Rais SSH....Kwa hiyo hayo ndiyo yalikuwa malipo ya kutodai katiba mpya?
Aliyafanya hayo kuwafurahisha hao watu wasimsumbue kudai katiba?
Kama hayo ndiyo yalikuwa matarajio yake, ajue kakosea sana. Hakuna kilicho muhimu kushinda katiba inayolinda haki za wananchi wote.
Hatuhitaji fadhira za mtu mmoja kuamua lipi jema na lipi baya kwa watu milioni sitini na zaidi.
Mtakwenda na hizo ajenda zenu....yeye ni CHIEF COMFORTER...atawasikiliza vyema tu....UTEKELEZAJI UTABAKI JUU YAKE...
Kwani mtamlazimisha utekelezaji ?!!!
Maaaweeeee......