Rais Samia: Msikubali wanaotaka kuanzisha chokochoko, pakichafuka ni wewe utakayekaa ndani

Kwa hiyo hayo ndiyo yalikuwa malipo ya kutodai katiba mpya?

Aliyafanya hayo kuwafurahisha hao watu wasimsumbue kudai katiba?

Kama hayo ndiyo yalikuwa matarajio yake, ajue kakosea sana. Hakuna kilicho muhimu kushinda katiba inayolinda haki za wananchi wote.
Hatuhitaji fadhira za mtu mmoja kuamua lipi jema na lipi baya kwa watu milioni sitini na zaidi.
Jiandae na mkutano na mh.Rais SSH....

Mtakwenda na hizo ajenda zenu....yeye ni CHIEF COMFORTER...atawasikiliza vyema tu....UTEKELEZAJI UTABAKI JUU YAKE...

Kwani mtamlazimisha utekelezaji ?!!!

Maaaweeeee......
 
Ina maana gani ya kwenda kupata "Comfort', na itakuwaje 'comfort' kama mikutano hiyo haikidhi mahitaji?

Utekelezaji..., ataachia tu hakuna namna.

Sasa hivi atajitahidi kutafuta njia tu za kupitia asionekane kuwa 'ka'capitulate'. Mshauri asijiweke sehemu ngumu akakosa pa kutokea na heshima zake.
 
Kwanini mnafikiria mambo mabaya ya kuuana ?!!!

Tatizo lenu mnapenda sana siasa za "THESIS + ANTI-THESIS=SYNTHESIS".....

MPAMBANAJI haogopi lolote.....

#NchiKwanza
#ChokochokoSiKituKizuri
Kiongozi anapoanza kutumia misamiati kama hiyo ya "chokochoko" ni dalili kwamba ameanza kushindwa na hoja zinazoelekezwa kwake. Hatua zinazofuata ni kujaribu kukandamiza ili kuzima hoja asizoweza kuzijibu kwa hoja.
 
Ina maana gani ya kwenda kupata "Comfort', na itakuwaje 'comfort' kama mikutano hiyo haikidhi mahitaji?

Utekelezaji..., ataachia tu hakuna namna.

Sasa hivi atajitahidi kutafuta njia tu za kupitia asionekane kuwa 'ka'capitulate'. Mshauri asijiweke sehemu ngumu akakosa pa kutokea na heshima zake.
Mikwara mitupu 🤣🤣

Kwa hiyo "mtamnyoa na wembe"?!!

Na hizo ndizo CHOKOCHOKO ZENYEWE.....

#WatanzaniaTulioWengiSiWageniNaHilaZaChadema
 
Hapa ndipo atakapokuja kupotezea lengo.

Njia yake ya rahisi kabisa ilikuwa ni kuendelea na danganya toto, huku siku zikienda.

Kikwete alimudu sana njia ya kuwapoza wapinzani, na hakuna lolote lililoharibika kwa upande wa CCM.

Huu "uoga" wa wapinzani mwishowe utaanza kupungua watakapoanza kuona dalili za wananchi wakiwapa moyo wa kusonga mbele.

Uoga wa wapinzani siku zote unatokana na kukosa alama za wazi za kuungwa mkono na wananchi katika hayo wanayoyapigania.

Unaweza kujikumbusha hilo jinsi Mbowe alivyoachwa solemba pale Kinondoni, ikiwa kama mfano mzuri.
Na hilo litaendelea hata sasa 😅😅😅 ajiandae tu
 
Kiongozi anapoanza kutumia misamiati kama hiyo ya "chokochoko" ni dalili kwamba ameanza kushindwa na hoja zinazoelekezwa kwake. Hatua zinazofuata ni kujaribu kukandamiza ili kuzima hoja asizoweza kuzijibu kwa hoja.
Mbowe aliongea maneno makali sana...mfano "hatutokubali hatutokubali..."

Mdude Nyagali akamaliza "mwambieni huyo mama yenu kuwa hamuogopi ,atamnyoa na wembe...." Ridiculous....😲

Hizo si CHOKOCHOKO ?!!!

KOSA AWE NALO RAIS kutukumbusha utulivu na maelewano nchini ,ila lisiwe kwa Mbowe na Mdude?!! Si ndio eeee?!!!
 
Kiongozi anapoanza kutumia misamiati kama hiyo ya "chokochoko" ni dalili kwamba ameanza kushindwa na hoja zinazoelekezwa kwake. Hatua zinazofuata ni kujaribu kukandamiza ili kuzima hoja asizoweza kuzijibu kwa hoja.
Hoja zipi amesema anajenga uchumi kwanza take it! Mambo ya katiba atayashughulikia kwa wakati maalumu. Hilo jibu hamlitaki sasa mnachotafuta nini kama si chokochoko? Mwendazake alisema kuna watu wanawashwa washwa!
 
hakuna jipya mkuu, huyu muda si muda atakuwa hatakatili kuliko jpm, lakini kaa tuliomba mungu kamuondoa jpm , sioni sababu ya yeye akileta taabu tunarudia yule yule mungu, tz sio mali ya ccm
Huyu mama sio katili ila mnamtafuta upande wake wa ukatili tu! Atawaonesha soon
 
Hoja zipi amesema anajenga uchumi kwanza take it! Mambo ya katiba atayashughulikia kwa wakati maalumu. Hilo jibu hamlitaki sasa mnachotafuta nini kama si chokochoko? Mwendazake alisema kuna watu wanawashwa washwa!
"Muwasho"

🤣🤣
 
Huyu mama sio katili ila mnamtafuta upande wake wa ukatili tu! Atawaonesha soon
🤣

Mimi muoga ...

Nakimbiza "mabawa yangu".....

Yaani kuna watu wana "mishipa jamani".....yaani MDUDE bado tu anatamba kwa maneno makali ?!!!

Mmh 🤣
 
Alipowapatia the right dosage wakaufyata😅
Maisha yana thamani kubwa mno.... nashangaa wako WANAOYAFANYA kuwa "maigizo" 🤣

Mwenyewe Sheikh Msellem bin Ali wa UAMSHO alipotoka tu rumande akasema "huwezi kushindana na mwenye nguvu....,akisema hapo acheni basi sisi tutaacha"
 
Hahahahaha alikubali mziki
 
Rais umenena kweli hakuna nchi inaendelea katikati ya vita au vurugu lolote. Kimsingi dola ipo ili kudhibiti hali hiyo. Miaka 60 ya uwepo wa Tanzania tumeishi kwa amani kwa umakini wa Viongozi wetu na raia wake. Bravo Madame.
Uliishi wewe Na hiyo Amani yako
 
Hoja zipi amesema anajenga uchumi kwanza take it! Mambo ya katiba atayashughulikia kwa wakati maalumu. Hilo jibu hamlitaki sasa mnachotafuta nini kama si chokochoko? Mwendazake alisema kuna watu wanawashwa washwa!
Naona leo uko kwenye 'special assignment', maanake nimekuona kitambo hata kama mwelekeo wako ni wa 'kipopo' vile.

Mfano mzuri ni haya maneno uliyoandika hapa kunijibu mimi.

Sasa sijui unataka niseme nini juu ya hiyo unayoiita wewe hoja. Kipimo cha uchumi anaojenga ni kipi, unakijua wewe?
Basi, kama wewe unaridhika na jibu la kipuuzi namna hiyo, huenda na wewe ukawa ni mpuuzi tu!
 
Naona leo uko kwenye 'special assignment', maanake nimekuona kitambo hata kama mwelekeo wako ni wa 'kipopo' vile.

Mfano mzuri ni haya maneno uliyoandika hapa kunijibu mimi.

Sasa sijui unataka niseme nini juu ya hiyo unayoiita wewe hoja. Kipimo cha uchumi anaojenga ni kipi, unakijua wewe?
Basi, kama wewe unadhidhika na jibu la kipuuzi namna hiyo, huenda na wewe ukawa ni mpuuzi tu!
Sawa mkuu unaweza kuwa mkweli ila haimanishi upo sahihi! Mie sina tatizo na katiba mpya ila nina tatizo na wanaotumia lugha za sokoni kujitapa kuwa wanadai katiba mpya
 
Back
Top Bottom