Rais Samia: Msikubali wanaotaka kuanzisha chokochoko, pakichafuka ni wewe utakayekaa ndani

Rais Samia: Msikubali wanaotaka kuanzisha chokochoko, pakichafuka ni wewe utakayekaa ndani

Eeh mkuu kikinuka hata zile akili za ushabiki mandazi wa Mbowe na Lissu zitakuwa hakuna[emoji28][emoji28][emoji28] itakuwa ni uwiii kila upande! Likisikika Tutu linarindima watu ni kujibanza hata uvunguni [emoji28][emoji28][emoji28] kwa jirani yako bila hodi!
Mbona mengi yametokea hapa wametelekezwa mtu hata uwezo wa kukata bima ya nhif Hana hlf anadai katiba mpya pumbavu yaan Ni akili mgando hlf wachache wanaendeshewa harambee ya kuchangiwa wajikim baada ya kutoka mahabusu aisee sijui wanajua gharama ya amani Hawa watu dah
 
Tuliza kipele basi! Raisi ni Samia Hassan Suluhu na ndio mwenye dola kwa sasa sio Mbowe wala Lissu! Subirien mda wa kampeni ukifika anzeni kampeni ila kwa sasa tulizeni mishono!
Rais ni Samia sawa, na mikutano ya kisiasa ipo kisheria, sasa mnatetemeshwa na nini? tatizo la ushindi wa kura za kwenye mabegi meusi ndio maana hamjiamini.
 
Sawa tutarudi tena kumuomba Mwenyezi MUNGU maana yeye ayaweza yote kwamuda unaofaa
Ndo kazi iliyobak kwan kina Mandela wakwapi yukwapi che guavara wako wapi kina Thomas Sankara mbona wameenda kwan kifo mnafaida nacho gani nyinyi hata akifa ndo mbowe au mdude atachukua kiti dah sijui Ni utoto au.
 
Back
Top Bottom