mbegubora29
JF-Expert Member
- Mar 14, 2015
- 513
- 338
Tena mapema saana wafungwe midomo yao kwa mfano Yule mwenyekiti wa bavicha uwezo wake wa kisiasa Ni mdogo eti anawachochea wazanzibar waombwe msamaha na rais dahHawa si wa kuwaachia hata hatua moja,
Mwambieni chiba kuwa safari hii hakuna wa kumchekea, dola ipo imara. Abaki hukohuko alinde ndoa yakeAmepanga litokee nini hadi anawatisha watu?
Tuliza kipele basi! Raisi ni Samia Hassan Suluhu na ndio mwenye dola kwa sasa sio Mbowe wala Lissu! Subirien mda wa kampeni ukifika anzeni kampeni ila kwa sasa tulizeni mishono!Mikutano ya vyama vya siasa, mambo ya mke hatuyajadili hapa "ma-genius" wa lumumba.
Maswali na majibu ni juu yako, ila ujinga hatutaki, msichezee starehe yetu, (Amani)Madai ya katiba mpya ndiyo ya kijinga?
Mmepanga kuwafanya nini wanaodai katiba mpya?
Huyu mama nikimuona kama mwenye busara kumbe ni Magufuli wa kikeRais Samia amewataka wananchi wa Morogoro wasikubali chokochoko zinazoanzishwa na baadhi ya watu.
Amesema hao wanaotaka kuanzisha vurugu wameshaandaa na wanajua watakavyojitibia ikitokea wamepata madhara...
Mama Zuri umeamkaje hapo Kisarawe?Mwambieni chiba kuwa safari hii hakuna wa kumchekea, dola ipo imara. Abaki hukohuko alinde ndoa yake
Heshima kwako mkuuMwambieni chiba kuwa safari hii hakuna wa kumchekea, dola ipo imara. Abaki hukohuko alinde ndoa yake
Mbona mengi yametokea hapa wametelekezwa mtu hata uwezo wa kukata bima ya nhif Hana hlf anadai katiba mpya pumbavu yaan Ni akili mgando hlf wachache wanaendeshewa harambee ya kuchangiwa wajikim baada ya kutoka mahabusu aisee sijui wanajua gharama ya amani Hawa watu dahEeh mkuu kikinuka hata zile akili za ushabiki mandazi wa Mbowe na Lissu zitakuwa hakuna[emoji28][emoji28][emoji28] itakuwa ni uwiii kila upande! Likisikika Tutu linarindima watu ni kujibanza hata uvunguni [emoji28][emoji28][emoji28] kwa jirani yako bila hodi!
Ha ha ha haMwambieni chiba kuwa safari hii hakuna wa kumchekea, dola ipo imara. Abaki hukohuko alinde ndoa yake
Mataga pori utakuta hapo unaongea umelala chumba kimoja na masufuria ya maharage yapo uvunguni.Maswali na majibu ni juu yako, ila ujinga hatutaki, msichezee starehe yetu, (Amani)
Ha ha ha haTuliza kipele basi! Raisi ni Samia Hassan Suluhu na ndio mwenye dola kwa sasa sio Mbowe wala Lissu! Subirien mda wa kampeni ukifika anzeni kampeni ila kwa sasa tulizeni mishono!
HaswaaaMaswali na majibu ni juu yako, ila ujinga hatutaki, msichezee starehe yetu, (Amani)
Uzuri ni kwamba, tumefundushwa kuwapenda na kuwaheshimu wote ila si kuwavumilia wanaoleta chokochoko ni kula ki..... tu! hakuna lingineMataga pori utakuta hapo unaongea umelala chumba kimoja na masufuria ya maharage yapo uvunguni.
Rais ni Samia sawa, na mikutano ya kisiasa ipo kisheria, sasa mnatetemeshwa na nini? tatizo la ushindi wa kura za kwenye mabegi meusi ndio maana hamjiamini.Tuliza kipele basi! Raisi ni Samia Hassan Suluhu na ndio mwenye dola kwa sasa sio Mbowe wala Lissu! Subirien mda wa kampeni ukifika anzeni kampeni ila kwa sasa tulizeni mishono!
Ndo kazi iliyobak kwan kina Mandela wakwapi yukwapi che guavara wako wapi kina Thomas Sankara mbona wameenda kwan kifo mnafaida nacho gani nyinyi hata akifa ndo mbowe au mdude atachukua kiti dah sijui Ni utoto au.Sawa tutarudi tena kumuomba Mwenyezi MUNGU maana yeye ayaweza yote kwamuda unaofaa
🏃Rais ni Samia sawa, mikutano ya kisiasa ipo kisheria, sasa mnatetemeshwa na nini? tatizo ushindi wa kura za kwenye mabegi meusi ndio maana hamjiamini.