Rais Samia: Msikubali wanaotaka kuanzisha chokochoko, pakichafuka ni wewe utakayekaa ndani

Rais Samia amewataka wananchi wa Morogoro wasikubali chokochoko zinazoanzishwa na baadhi ya watu.

Amesema hao wanaotaka kuanzisha vurugu wameshaandaa na wanajua watakavyojitibia ikitokea wamepata madhara...
Kwa hiyo ameona jibu la wanaotaka Katiba Mpya ni kuwadhuru,yale yale ya mwendazake. CCM ni ile ile,hoja hujibiwa kwa mtutu wa bunduki.
 
Kumbe mnatania kwa haya majibu yenu, nikadhani mko serious, basi wacha moto wa Katiba Mpya uendelee.
Watu vichwa kama wewe nashangaa kwa nini usiwe m/kiti wa Chadema, chama kingelifika mbali sana na amani yetu isingelitishiwa hata kidogo,
 
Hiyo paragraph yako ya pili iliyobeba ujumbe zaidi jibu lake ni Ndio.
 
Anacheza ngoma yao yeye mwenyewe

Ananza kulia lia kama jiwe wametumwa na mabeberu.

Hii mechi kwanza ndio dakika ya 15 bado sana

Ameanza kucheza ngoma ya Chadema mapema sana

Ataenda mezani tu sizani kama itamchukua miaka 2 bila kwenda mezani.

Kiti cha moto hicho akae kwa kutulia.
 
Zaa naye huyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…