Rais Samia: Msikubali wanaotaka kuanzisha chokochoko, pakichafuka ni wewe utakayekaa ndani

Wewe ndio unaona cheo kimemnogea sababu wewe hauna hicho cheo! Siku ukiacha kulima matikiti hapo mpiji ukatengewa VX V8 na mshahara wa million 90 ndio walau utaelewa gharama za kuongoza nchi!
Nakuelewa mkuu sasahivi anaishi kama yupo peponi
 
Niwaombe sana tulinde amani, vijichokochoko vimeanza naomba msivipokee, wanaokuja na vijichokochoko walishajua matumbo yao yanajaaje, chakula chao wanatoa wapi, pesa za matibabu watatoa wapi, nawaomba wasije wakawaingiza kwenye huo mkenge”

β€œPakichafuka ni wewe utakayekaa ndani na Watoto wako na Mama Watoto na msijue chakula mnatoa wapi, msijue Mtoto akiumwa mtakwenda kumtibu na pesa gani, niwaombe sana tulinde amani yetu, Nchi yetu itulie tuendelee na maendeleo yetu..... Samia akiwa Morogoro leo
 
Niwaombe sana tulinde amani, vijichokochoko vimeanza naomba msivipokee, wanaokuja na vijichokochoko walishajua matumbo yao yanajaaje, chakula chao wanatoa wapi, pesa za matibabu watatoa wapi, nawaomba wasije wakawaingiza kwenye huo mkenge”...
Hizo zilikua fikra za magufuli naona mama anaziendelza
 
Ingetakiwa itolewe amri halali ya kusambaratishwa kibanda cha ufipa ili chokochoko zisienee. Narudia tena kisambaratishwe hata kwa bomu
Hahahahahah watalialia dunia nzima πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hizo zilikua fikra za magufuli naona mama anaziendelza
Mwanao akileta vurugu na kuhatarisha usalama wa ndani kwako hapo huwa unafanyaje? Au sababu ni mtoto ana haki ya kucheza akianza utundu na vurugu unatakiwa umtazame tu😎
 
Vijichoko choko [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…