Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Atake asitake Lazima katiba mpyaRais Samia amewataka wananchi wa Morogoro wasikubali chokochoko zinazoanzishwa na baadhi ya watu.
Amesema hao wanaotaka kuanzisha vurugu wameshaandaa na wanajua watakavyojitibia ikitokea wamepata madhara...
Swali jepesi sana hili. Sasa ukileta fujo ukapigwa unategemea aliyekupiga akutibu tena .Manake atawadhuru wakajitibu au?
Aisee..... mbona mambo ni kawaida sana
Tamko la mkuu wa nchi ni amri, sidhani kama kuna mamlaka ina uthubutu wa kutoa kibali baada ya tamko hiloKufanya mikutano ya hadhara inahitaji kibali ili mlindwe, fanyeni hivyo ili tuone jibu mtalopewa
Vita huwa inaamka kama kunanguvu ya umma, bavicha ni baraza tu, wala hawana nguvu ya umma na hawataki kuitafuta.Bavicha ndio wanaotaka kuleta vita, lala nao mbele hao hawana maana
Ha ha ha ha ha waache yaanMbowe ataenda Dubai kutibiwa, wewe utaenda wapi? Ingia barabarani uone , si wabishi nyie?
Amani so rais Bali neema kutoka kwa Allah wapo waliotaman waletewe na viongozi wao lkn ikashindikana kwahy jitoen ufahm nyie bavicha mkidhan mbowe ataishi milele.Hizo zilikua fikra za magufuli naona mama anaziendelza
Yaaan mkuu Ni bakora nyiingi mpaka unamtia cello ya chumban na kucheza siku hiyo hakunaMwanao akileta vurugu na kuhatarisha usalama wa ndani kwako hapo huwa unafanyaje? Au sababu ni mtoto ana haki ya kucheza akianza utundu na vurugu unatakiwa umtazame tu[emoji41]
Hoja yako ni ipi?Amani so rais Bali neema kutoka kwa Allah wapo waliotaman waletewe na viongozi wao lkn ikashindikana kwahy jitoen ufahm nyie bavicha mkidhan mbowe ataishi milele.
Tatizo hawa jamaa walidhani watapata wepesi kwa mama. Itawagharimu sana kutegemea huruma ya rais anaetokana na chama msichokipenda.Mama hajakaa kinyonge aisee
Ndoto kbs ebu kwa takwim tu washatupwa mbali saaana hivyo Ni hesabu tuHivi ni lini CDM mtaacha ujinga? Wakati CCm wanazunguka tz nzima kuongea na wananchi nyie mmejifungia Ufipa kuongea ujinga, and mnaamini mtashinda uchaguzi 2025!
Yaaan mkuu Ni bakora nyiingi mpaka unamtia cello ya chumban na kucheza siku hiyo hakuna
Kufanya mikutano ya hadhara inahitaji kibali ili mlindwe, fanyeni hivyo ili tuone jibu mtalopewa
Mbona walitokea km kina magufuli hlf ukuunga mkono sasaAcha kyogopesha watu wewe hata ukilala mwisho ni upi kama si kifo. Nyie ndo mmefanya taifa lifike hapa kwa kujikomba na uchu nchi hii haiko sawa bila kupata watu ambao wapo tiyar kwa lolote hamna kitaendelea. Na ww unayejifanya kusifia hali ikichafuka nawe utavutwa masikio. Nimemaind sana kwa mchango wako.
Nawe unajiona una akili kwa comment uliyotoa hapo juu? Kwamba taharuki hata kama ni za kisheria ni taharuki?Mee too namuombea heri katika kutawala taifa hili ambao wenye akili wachache tumezungukwa na vichaa lukuki!
Ila hapa mtu mzima anayefanya vurugu anataka aangaliwe kwa kivuli cha siasaYaaan mkuu Ni bakora nyiingi mpaka unamtia cello ya chumban na kucheza siku hiyo hakuna
Tatizo hawa jamaa walidhani watapata wepesi kwa mama. Itawagharimu sana kutegemea huruma ya rais anaetokana na chama msichokipenda.
Ndo maana tunataka katiba mpya ili tumalize amri za namna hiiTamko la mkuu wa nchi ni amri, sidhani kama kuna mamlaka ina uthubutu wa kutoa kibali baada ya tamko hilo