Rais Samia mteue Dkt. Ashatu Kijaji kuwa Waziri wa Fedha na Mipango

Ni kwamba ana uwezo au kwakuwa naye anavaa ushungi?
 
Sijasema Mama alikosea, tunachotaka ni kurekebisha mwenendo wa uchumi, Dkt Ashatu ndiye anayefaa kwa mazingira tuliyonayo. Naamini utaelewa.
 
Acha speculation nina jambo na Dr. Mwigulu
 
Unajua mwanamke akiwa na akili za ziada kama Dkt Ashatu au Mama Samia huwezi mlinganisha na mwanaume. Rais Samia ana akili nyingi mno maana kutoboa IDM Mzumbe enzi zile haikuwa rahisi hata Mwl Nyerere alishawahi kukiri. Ninachokishauri acha kusifia kitu usichokijua.
 
Sijasema Mama alikosea, tunachotaka ni kurekebisha mwenendo wa uchumi, Dkt Ashatu ndiye anayefaa kwa mazingira tuliyonayo. Naamini utaelewa.
Kama ww chawa wa Ashatu, basi in terms of IQ ww utakuwa the lowest IQ of all the time. Someone with just a little good IQ hawezi kusema huu upuuzi
 
Kama ww chawa wa Ashatu, basi in terms of IQ ww utakuwa the lowest IQ of all the time. Someone with just a little good IQ hawezi kusema huu upuuzi
Hapana mi siyo chawa na sijawahi kuwa Chawa kabisa. Tumuunge mkonk Rais Samia ktk kuleta mabadilko nchini.
 
Mama Samia yuko so brilliant, can you compare Mh. Rais wetu na Ashatu, Mama Samia yuko vizuri kabisa, very smart, ila sio Ashatu, au ww hujawahi jua kazi za Ashatu, go and search, wala hawezi msogelea kwa utendaji Bi Dorothy Gwajima, au Mhagama au Prof. Ndalichako, hao wote ni mawaziri wanawake, but their IQ iko so good. Sijasema hafai kabisa uwaziri, ila hawezi kabisa, uwaziri, sijui huelewi, that is my observation
 
Hapana unakosea, Mama Samia ana weledi, ni mwenye uwezo mkubwa sana. Dkt Ashatu anafaa kabisa.
Kama unadhani sasa hivi mambo yanaenda mrama amteue huyo Dr Ashatu halafu uone kitakachofuata.

Dah yule ndio anasomaga neno kwa neno anachoandikiwa wizarani. Siku akisema aelezee jambo yeye mwenyewe simple concept za uchumi kudadavua application zake zinamshinda.

Ata kwa mtu mwenye elementary knowledge ya masomo ya biashara na uchumi ukimsikiliza unaona amna kitu pale.

Saada Mkuya aliekuwa na diploma alipoteuliwa na JK kuwa waziri wa fedha leo kwa elimu ya kuunga unga ukimsikiliza ana afadhali ya Dr Ashatu.
 
Shida yetu kubwa zaidi ni Katiba na mifumo ya kitaasisi.
 
Hapana mi siyo chawa na sijawahi kuwa Chawa kabisa. Tumuunge mkonk Rais Samia ktk kuleta mabadilko nchini.
Sasa mabadiliko unayotaka kwa kuweka Waziri wa Fedha awe Ashatu, mabadiliko unajua inataka watu wa uwezo gani? Au unaongea ili mradi umepewa hela huko unapiga piga kelele humu, U can't make reforms au mabadiliko kwa mawazo yako finyu hayo, take that note.
 
Jay One mkuu wangu hata huyo Dkt Ashatu hanijui kabisa, kilichonisukuma ni uzalendo wake na uadilifu na uchapa kazi pamoja na uwezo wake wa kuchambua mambo.
 
Hatutaki marudio. Kwani sisi wengine hatupo??
 
Hakuna mtu mwenye huo muda wa kufuatilia, wewe ndio utuambie hapa alifanya nini cha maana
Hapana, kwenye u smart Dkt Ashatu ni genius! Ana kipaji cha akili! Fuatilia historia yake enzi anasoma IDM Mzumbe au wakati anasoma
PhD yake nchini Norway.
 
Jay One mkuu wangu hata huyo Dkt Ashatu hanijui kabisa, kilichonisukuma ni uzalendo wake na uadilifu na uchapa kazi pamoja na uwezo wake wa kuchambua mambo.
Ebu tupe mfano ata wa speech yake moja akiongelea maswala ya uchumi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…