johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mbona ghafla mno kunani?!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnamsingizia Feleshi Bure tu.Waondolewe kwa kumsikiliza mwanasheria Mwabukusi!, wewe umechanganyikiwa sio bure.
(Mbarawa, Feleshi) , hawa wanaondoka, tumeshafahamishwa, huu mwezi haupiti.Mnamsingizia Feleshi Bure tu.
Unataka kutuambia Feleshi ndio alie watuma hao Wakuu wajivue ufahamu?
Mtu wa kwanza ambaye hakutakiwa kuwa ofisini tokea jana ni MwamvuaIfahamike pasi na shaka, Uwaziri mkuu au Uspika hauna hati miliki. Moja kwa moja kwenye hoja...
AONDOKE YEYE.Mama amekwisha kabisa..., hawa watu waondoke ili ajisafishe!!
Ukizingatia kichwa cha mada "(Mbarawa, Feleshi) , hawa wanaondoka, tumeshafahamishwa, huu mwezi haupiti.
Mimi naongelea hivyo visiki viwili, PM na Spika, nao waunganishwe tu!
Chichi emuu wamechirai kama chii kuchinjia,piiipooozi wapo macho😂Tufanye Uchaguzi Mwingine tu, tena wa mapema.
Chi Chi em Mpooo. Piiiipo mpoooo.
Nikiwa natembea kwenye makorido, wenzangu na mie hatutizamani machoni humo kwenye makorido, na sasa ukitoka tu kuelekea U.A.E ndio kabisa unanuna na kununa☹️🤭🤬😂Chichi emuu wamechirai kama chii kuchinjia,piiipooozi wapo macho😂
Umeisikia Sekretarieti ya Bunge??Waondolewe kwa kumsikiliza mwanasheria Mwabukusi!, wewe umechanganyikiwa sio bure.
Mwenyekiti wa ccm kupitia kikao chao cha NEC kapendezwa na huo mkataba wa DP World na TPA,akamwagiza Rais autekeleze mapema kabisa so kuwatosa hao atakua hajatenda haki kwao.Haihitaji kubishana kwa chochote, suala la Bandari limefifisha kabisa nyota ya kisiasa ya Rais Samia, kwa hali ilivyo sasa Rais Samia akisema akagombee hata udiwani katika kata yoyote ile Tanganyika huenda akaangukia pua.
Sijawahi kuamini hata chembe kama SSH ni Rais Bora. Kwanza IQ ndogo na hawezi kusimamia serikali. Kinachomsaidia ni aina ya nchi na watu anaowaongoza tu.Haihitaji kubishana kwa chochote, suala la Bandari limefifisha kabisa nyota ya kisiasa ya Rais Samia, kwa hali ilivyo sasa Rais Samia akisema akagombee hata udiwani katika kata yoyote ile Tanganyika huenda akaangukia pua.
makubwa na taswira ya kifisadi anayotengenezewa na watu fulani fulani waliomzunguka. Ukweli usemwe hata kama ni mchungu!
Umeshauri vyema sanaHaihitaji kubishana kwa chochote, suala la Bandari limefifisha kabisa nyota ya kisiasa ya Rais Samia, kwa hali ilivyo sasa Rais Samia akisema akagombee hata udiwani katika kata yoyote ile Tanganyika huenda akaangukia pua.
unaotokana na kivuli kichafu cha CCM kinachomfunika, uwezo wenye mashaka katika kuchanganua mambo makubwa na taswira ya kifisadi anayotengenezewa na watu fulani fulani waliomzunguka. Ukweli usemwe hata kama ni mchungu!