Rais Samia naomba umwambie Kamala Harris, Tanzania ushoga ni 'NO'

Na asikidanganye mtu Rais Samia nguvu ya yeye kuzuia ushoga hana na hatokua nayo milele, unazuiaje ushoga wakati wewe umesoma shule ya msingi ya kutwa na sekondari ulienda ukiwa na akili timamu lakini mtoto wako umempeleka shule ya bweni ambapo pamoja na mafundisho yote hua wana secret agenda na mara nyingi patron ndio hupewa maelekezo yote hivo watoto hufundishwa huko namna ya kuingiliana, ndio unakurupuka kufungia bweni za watoto leo ilihali walishaharibika mamilioni ya watoto kwa ujinga wa kuigaiga vitu vya watu wengine
 
Hakuna shetani hapo mkuu. Kufungua kanisa ni rahisi sana kama kufungua duka tu. Hata wewe saiv unaweza ukachukua frame ukaanzisha kanisa, hii ni tofauti na kufungua kitu kama msikiti au temple.

Shoga linaweza likaamka tu huko likakodi frame ya 300k likafungua kanisa na kujizolea wanachama.
 
Kuhalalisha NDOA za aina hiyo na kuwatambua ndo hatutokubali.

Hakuna HAKI ya kubadili UBINADAMU.

Mwanaume awe Mwanaume, mwanamke awe mwanamke basi.

Tufauti na hapo, mtakufa mfululizo hamtoamini.
With due respect BABA MCHUNGAJI,

Serikali haina haja ya kuhalalisha jambo ambalo limejihalalisha lenyewe kutokana na uhalisia wake.

Kwa mfano MASHOGA wakiamua kufirana huko vyumbani, unafikiri serikali itafanya nini!?

Serikali haiwezi kufanya kazi ya kupolisi MIKUNDU. Ni INCONSEQUENTIAL.
 
Mashoga walikuepo toka enzi na enzi, na watakuepo tu kikubwa sasa ni kurudi kutunza na kutumia mila na desturi zetu vyema na kuigaiga kila kitu kimegharimu watu wengi basi tu
 
Serikali Imeruhusiwa na Mungu aliyeumba Mbingu na Nchi .

Ikitoka ktk maelekezo ya Mungu, atakuja kupitisha panga lake,

Amini nakuambia, soon utaanza kuona impact ya ninayoyakemea,

Kuna vipigo mfululizo vinakuja duniani,

Nchi nyingi imesikia majanga ukadhani hayatakuja huku,

HAKIKA Utaona b4 hujafa.
 

Uko sahihi maana tunavyolijadili ndio tunazidi kuwasha moto mkali
 
Your android phone kupitia google , can now track you and your activity in accuracy ya mita kadhaa, wakati andoid inaanza hakuna mtu alijiuliza juu ya mamlaka ambayo addroid ingejipa lakini naamini ni mpango ulipangwa nao kwa kutumia intelligence zao.
Mchina na jeuri yqke ili auze simu zake ,lazima atumie android
 
Shule za bweni nazo zimechangia tatizo
 


Swali lipo pale pale kwanini shoga lifungue kanisa.la mashoga??, kwanini lisifungue kijiwe cha mashoga au kambi ya mashoga au jumuiya ya mashoga au taasisi ya mashoga nk??--- ni kwanini KANISA la mashoga??.

Kuna kitu gani kati ya KANISA na ushoga??

Ndio maana naomba Bwana YESU ashuke haraka sana kama kweli anauchungu na kanisa aje apambane mwenyewe.
 
Tena awaambie hawana sababu kutoamini mifumo yeti ya kiusalama kwa hiyo wasijiingize jikoni kujua kila kitu chetu kiulinzi kwa kisingixio kumlinda huyo kamalla harris wao.
 
Hivi mnachokipinga hasa ni nini? Maana mashoga wapo Tanzania na wengine ni maarufu kabisa wanajulikana, huku kupinga ushoga imekuwa kama ni kitu cha mazoea tu na si kwamba tunauchukia huo ushoga. Hatupo serious ni kama tunafanya tu ubaguzi wa kimazoea ilimradi.
 

Mfano kitengo cha lugha CIA , ndio walikazia mkazo smart dictionary na smart translator, wewe unacheka kama mwehu mara nimewasha location mara google imenifikisha kwa adija everything inakua iko saved kwenye saver zao na utakukuruka wakikutaka wanakupata na kufahamu uko wapi hata usimiliki simu wala kusajili line, ukiazima simu ya mtu mwingine ukaongea tu wao kwenye zile point wanadetect sauti yako hapo ndio unasikia magaidi fulani wamebomolewa ubongo wametafutwa miaka kumi, yaani wao walishafika sasa wanachomoa kidogo wanakupa wewe utapiga kelele weeee lakini mwisho unakaa kimya tena kama hautumii akili ndio basi tena,
 
Serikali Imeruhusiwa na Mungu aliyeumba Mbingu na Nchi .

Ikitoka ktk maelekezo ya Mungu, atakuja kupitisha panga lake,
Sioni kosa la serikali kwa sababu tayari sheria ilishatungwA kuzuia UFIRAJI.

Shida ni kwamba WAFIRANAJI mko nao huku mitaanii wanafirana magetoni kimya kimya.

Ulitaka serikali iende magetonii kupiga CHABO MADIRISHANI kuangalia nani anamfira nani!?

Ni HAITEKELEZEKI / UNENFORCEABLE LAW.
 
MIHEMKO haiwezi kutatua hili swala.

Umeshawahi kuwasikiliza hao MASHOGA?

Ndio maana nasema tutumie akili kubwa sana asilimia 60% hadi 80% ya wale ulikua unasikia mabaharia wa kuzamia meli ili waende ng’ambo hua hawasemi tu lakini wengi walifirwa sana ilikua uchague uogeshwe upendeze ugongwe au wakutose baharini, basi mabaharia wengi walifirwa kwa njia hiyo waone tu wanahadithia mara nilipita port fulani na port fulani wengi wao walichezea sana
 
Wanaokuletea ushoga wako busy na tafiti wewe uko busy na ccm na chadema, simba na yanga, kwa akili hiyo huwezi kupambana nao either utakua mpiga kelele tu kama wengine basi siku ziende
 
Haujiulizi kwa nini wao chakula organic kina bei kubwa kwao kuliko kawaida na wanakithamini sana chakula hicho organic, lakini unaletewa mbolea ya msaada, mbegu, na wanakushauri ufungue viwanda vingi vya mbolea, mwisho kabisa mara nguvu za kiume, linakua tatizo la kitaifa uwezo wa kuzalisha unapungua hapo tunakwenda taratibu kumbe ilitakiwa sera za kilimo tuziangalie ziendane na sisi wenyewe kwa kutumia akili kwamba wakulima wetu tunawafundisha kuzalisha vyakula organic kwa wingi sana ili kujenga afya ya watu wetu, lakini uvivu wa kufikiri kwa mtu mweusi GMO inaletwa linapokea kama jehu hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…