Rais Samia ni Mkakamavu na Shupavu Utafikiri Ametoka Kumaliza na kufuzu Mafunzo ya Ukomandoo

Rais Samia ni Mkakamavu na Shupavu Utafikiri Ametoka Kumaliza na kufuzu Mafunzo ya Ukomandoo

Mimi sisifii bali naongea uhalisia na ukweli. Mama yangu siyo Rais wala hana serikali. Nampongeza Rais Samia kwa sababu kazi zake zimegusa hadi Maisha ya wazazi wangu ambao ni wakulima kama mimi. Kazi na mikono ya Rais Samia imegusa Mamilioni kwa mamilioni ya watanzania. Kwani ni wapi ulisikia mama yangu ametoa na kusomesha bure watoto wa watanzania bila kujali itikadi za kisiasa? Wapi ulisikia mama yangu mzazi ametoa ajira kwa vijana? Wapi ulisikia mama yangu mzazi ametoa pesa za kukamilisha mradi wa bwawa la mwalimu Nyerere lenye kuzalisha megawati 2115 ? Wapi ulisikia mama yangu amewapandisha madaraja na mishahara watumishi wa umma?

Sasa kwanini nisimoongeze Rais Samia ambaye amefanya hayo yoote na kuleta tabasamu na matumaini kwa mamilioni ya watanzania
Kwani uliwahi kumsikia rais Samia akisema anawasomesha watoto wa watanzania bure kwa pesa yake?
 
Wewe mngese utajibu nini kipya zaidi ya matusi? Mtu kumsifu Rais kwanini ikuume kama sio dalili za mwanaume unayepumuliwa? Acha upuuzi.
Dada angu usipaniki hapa bado sijaanza nitakushulikia kwa hali ya juu sn sina utani na wajinga wakinichokoza
 
1000016195.jpg
 
Ndo madhara ya kuzaa watoto kisa tamaa ya chips kavu na mirinda nyeusi ya bariiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiidi
Pumbavu kabisa
 
Ndiyo ujue nchi hii ina majitu majinga haswa moja wapo ni hili, huwezi kuona linasifia wazazi wake lenyewe ni kutwa sijui mama. Hopeless kabisa ndiyo maana nchi ni masikini, kule kwao Songwe kuna makaa ya mawe, dhahabu, mpaka wa Tunduma na ardhi nzuri ya kilimo badala lifanye kazi kutwa linaandika ujinga tupu hapa.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
MTOA POST! NIJIBU SWALI LANGU, HAYA YA MAMA MAMA MAMAAA TUWAACHIE WATOTO WAKO WAKIMSIFIA MKEO

"HIVI TANZANIA TUNA MAENDELEO YA UCHUMI AU UKUAJI WA UCHUMI?"

NA KAMA NI MAENDELEO YA UCHUMI NI KWA ASILIMIA NGAPI NA KAMA NI UKUAJI WA UCHUMI NI KWA ASILIMIA NGAPI?
 
Back
Top Bottom