Rais Samia ni Mkakamavu na Shupavu Utafikiri Ametoka Kumaliza na kufuzu Mafunzo ya Ukomandoo

Haya mambo yapo juu ya uwezo wako. Ni bora ungekaa pembeni tu.
Yawezekana hata elimu tu uliyonayo hunifiki, penda kuuliza unafikiri kuna hata MTM anayethubutu kuomba kwenda kupiga huo mzigo? Sometimes unaandika vitu sahihi kuna muda unaboronga kweli.

Tena kama mimi ndiyo nipo kwenye mamlaka za uteuzi watu kama nyinyi ndiyo hata siwafikirii.
 

Nakupenda Lucas my love! I doubt una Dudu Kaka?!!!!!!???
 
Lucas wacha kejeli kwa Rais Samia
 
Unaujua ukakamavu dogo, tuanzie na push up. Mwendazake alijaribu ardhi ikamwita, mwambie bibi ajaribu tuone ukakamavu. Dogo mambo mengine tuliza ball, unaharibu badala ya kujenga. Ado-ado
 
Katiba mpya Tume HURU halafu ndio tumsifie Raisi Samia Suluhu kwanini inakuwa ni vigumu sana?!
 
Lucas mwashabwaa naomba kuwa Chawa kama wewe,kiukwelii kwenye hii kazi ya uchawaa umefikia kwenye kiwango Cha CHAWA MWANDAMIZI tatizo lako ni moja tuu HUNA AKILII kichwani kwako humo Kuna matopee yamejaaa.
Naomba serikali yetu chini ya rais wetu kipenzii mhe.Samia Suluhu Hassan ikupelekee India ukatibiwee kwa sababu kwa ugonjwa wako hapa Tz huwezii kutibiwaa na sisi wanajf tutabubunjikwaa na machozi ya furahaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…