Dr Ahmed Albah-Shahwa
JF-Expert Member
- Apr 12, 2022
- 848
- 1,604
Itafika kipindi itabidi ipatikane kwa namna yoyote ile easy way or the hard way.Sawa,, shida hamna watu,, labda katiba ipitishwe Washington sio Tanzania, ukweli mchungu huo
Hard way una maana vita sio?, Tatizo silaha hamna mkuu na mko heavily infltrated, chochote mtakachopanga kitavuja tu,, very hopeless situation you are in guysItafika kipindi itabidi ipatikane kwa namna yoyote ile easy way or the hard way.
Hard way una maana vita sio?, Tatizo silaha hamna mkuu na mko heavily infltrated, chochote mtakachopanga kitavuja tu,, very hopeless situation you are in guys
No. Tatizo CCM bado hawajazielewa au kukubali siasa za vyama vingi. Ndiyo maana wengine tu naona kama ndivyo hivyo basi CCM watangaze wazi ili tujue Tanzania ni kama China, North Korea au Cuba.Ni jambo jema
Ndio sababu tunasema Vyama vya Upinzani vya Tanzania ni lazima visupport Serikali vinginevyo vinawekwa pembeni!
Sio kizazi hiki,, hata marekani miaka 200 ijayo haitakuwa ilivyo leo, na hatutakuwa hapaKila himaya lazima idondoke ilidondoka Rumi itakuwa hii.
Kizazi hiki hiki na tena watakao fanya mabadiliko watatoka humu humu ndani sio kina mbowe sijui lissu humu humu chamani.Sio kizazi hiki,, hata marekani miaka 200 ijayo haitakuwa ilivyo leo, na hatutakuwa hapa
Ok,, sasa lowasa mtoto wa mjini alishindwa,, leo ulete mrundi atafanikiwa kweli mkuu? 🤔Kizazi hiki hiki na tena watakao fanya mabadiliko watatoka humu humu ndani sio kina mbowe sijui lissu humu humu chamani.
Ishu hapo sio utoto wa mjini au ubushman yaan hapo ni nia ya dhati kutoka kwa walio wengi na mikakati thabiti.Ok,, sasa lowasa mtoto wa mjini alishindwa,, leo ulete mrundi atafanikiwa kweli mkuu? 🤔
Mie nisikubishie sana,, ngoja tusubirie labdq mabadiliko yakija tutapatemo vyeo,, wakinipa hata uofisa kilimo wa kata itakuwA poa sana😁Ishu hapo sio utoto wa mjini au ubushman yaan hapo ni nia ya dhati kutoka kwa walio wengi na mikakati thabiti.
Ila aangalie sana zisijekuwa mbio za sakafuni tu, kuna jitu lilitaka litawale kwa miaka 20.Mama anataka wanaomsapoti kwenye Mbio zake za Urais 2025 .
Inaonekana Mbio za Urais zinamtesa sana.
Sio sawaNi jambo jema
Ndio sababu tunasema Vyama vya Upinzani vya Tanzania ni lazima visupport Serikali vinginevyo vinawekwa pembeni!
Sasa utapata wapi matukio ya kusema. Manake hamna agenda mnayosimama nayo at a moment.Oya sisi hatutaki hata kusikia huyo maza anasema nini. Usiwe unatupostia utumbo wake
Hii ndiyo sababu hawaipendi katiba kwani inaweza kumzuia kumbar, ukiwa mkweli unaonekana ni mwamaharakati.Rais Samia Suluhu Hassan akihutubia katika mkutano wa 47 wa wanasheria Afrika Mashariki uliofanyika mkoani Arusha, amesema haya kuhusu kushirikisha watu/taasisi ambazo ziko dhidi yake
Kwa mfano Tanzania, miaka minne mitano iliyopita tulikuwa na Tanganyika Law Society ambayo frankly speaking ilikuwa siyo chama cha Wanasheria, kilikuwa chama cha Wanaharakati na mapambano yao yalikuwa ni dhidi ya Serikali.
Sasa mimi nikijua wewe ni dhidi yangu nitakushirikishaje? Siwezi kukushirikisha, si ndiyo! Mpaka unioneshe kwamba am here to support you, I'm here to serve a country, I'm here kuonesha ujuzi wangu kwa nchi yangu.
Nikikuona una sura hiyo nitakushirikisha, nikikuona una sura ya uadui nami sitaweza kukushirikisha. Utatumia Sheria zote za Kimataifa, zoooote na mimi nitatumia zangu za ndani ya nchi kuku-bar usishiriki kwangu.
99%wanawake tuko hivyoSamia yaelekea ni mtu wa visasi visasi sana
Sasa walimwalika ili iweje?, Wewe ni katibu wa TLS?, Hadi ujue wanataka nini?,, Kama vipi wakajsajilie mozambique basi🤷🏼♂️TLS wamesema wanataka kushirikiana naye kwenye day to day work of governing???
80% ya watanzania walikataa vyama vingi, endapo japo45 % wakikubali, maana yake hata bungeni ingekuwa 50 kwa 50No. Tatizo CCM bado hawajazielewa au kukubali siasa za vyama vingi. Ndiyo maana wengine tu naona kama ndivyo hivyo basi CCM watangaze wazi ili tujue Tanzania ni kama China, North Korea au Cuba...