Ile kaulimbiu yako ni kweli kweli kweli kabisa mkuuWakati wenzetu wanapambana kutatua changamoto za uchumi zilizosababishwa na vita ya Ukraine huku kwetu Mapaka yanatutangazia kuwa maisha yatakuwa magumu kutokana na vita hiyo.Nitaendelea kuimba kuwa Tanzania inaongozwa na vibaka.
View attachment 2169643
View attachment 2169647
Leo mama Samia amesema ile tozo ya mafuta iliyotangazwa kufutwa kwenye mafuta aliaamua kuirudisha...
Hahahaha saizi ukiliuliza tena litajibu nini sijui! Maana huyu bibi ushungi Magumashi tu!Huyu ndo Rais sasa achana na yule mwendazake"alisikika jamaa mmoja baada tu ya b tozo kuapishwa"
Tupe bei za mafuta za nchi hizo bila kutia chumvi tulinganishe wenyeweAnasema Hangaya
.
Bei ya mafuta kwa Tanzania ni ndogo ukulinganisha na nchi za Afrika Mashariki na Kati, lakini wenye sekta wapo kimya hawasemi, tunamsubiria Rais, Nani ni Rais, Rais ni taasisi.
.
Waambieni Wananchi yanayoendelea huko duniani.
.
Afrika Mashariki na kati ni Tanzania pekee ambayo bei ya mafuta bado ipo chini kulinganisha na hizo nchi nyingine.
Waziri husika kufuta tozo bila Rais kujua au waziri mkuu ni kweli kweli?Hiki kinchi ni cha ajabu haijawahi kutokea duniani.
Putin amekubali kupokea Euro source: BBCRais yupo sawa kabisa mafuta yamepanda na yanaendelea kupanda. Isiwe maisha yenu yapo kwenye wasapu tu angalieni huko ulimwenguni kuna nini ili msiipe shida sirikali...
Sasa yeye si ndio kiongozi wa kila kitu, na wao ndio wametumabia hivyo kuwa raisi yupo juu ya mihimili yote. Lazima tumlaumu yeye, maana mambo yakiwa mazuri pia husifiwa yeye.utaskia mama katoa bil 200 za maji,Mara za umemeBadala ya kuzijadili ripoti wabongo tunamrushia mawe Rais, naomba kujua Hali ya Augustino Lyatonga Mrema.Mzee anafwaidi sana
Serikali ya awamu hii imesimamisha meno inauma huku na huku!
Leta picha mkuu..😂Iko Na meno kama Ngiri pori
Vitu vya ajabu kbs yaani ni aibu tupu.Waziri husika kufuta tozo bila Rais kujua au waziri mkuu ni kweli kweli?