Rais Samia: Nimeagiza tozo ya mafuta irudishwe, asema nauli na bei za bidhaa vitapanda. Sababu ni vita ya Urusi

Ndugu zangu,

Kama ni kweli Januari Makamba alifanya maamuzi kwa utashi wake binafsi kama waziri kukiuka maamuzi ya Bunge na kufuta tozo ya shilingi 100 kwenye mafuta ya petroli na kwa sababu Rais Samia kasema "waziri hakuangalia kwa mapana yake"

Ni afya kwa Waziri Makamba akakaa pembeni la sivyo Bunge limuwajibishe.
 
Huyo ni saizi yenu mumwajibishe menyewe🏃
 
Sio Tanzania wala Africa kwa ujumla wake
 
Vijana wa tumbo moja wanagombana. January katangaza hivi, Mwigulu kamsema kwa Mama
 
Kwa mujibu wako wewe timu mwenda zake, HUONI U.K, GERMAN, USA, INDIA WANANCHI WANALALAMA JUU YA BEI YA MAFUTA KWA GALON YAMEPANDA ALMOST MARA MBILI,/ PENDA KUJUA PIA MAMBO YA KIMATAIFA.
Kwani hapa kwetu mafuta yamepanda lini? Vita ya Ukrain ina mwezi sasa. Acheni kujilinganisha na mataifa makubwa.
 
Shetani mwingine katika ubora wake,mavitu yalianza kupanda bei kabla ya vita ya Ukraine,
 
Hongera kwa Mama kwa kuliangalia hili suala kwa mapana na kuirudisha tozo #ChawaWaMama #ChawaTupoKazini 😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…