Noti bandia
JF-Expert Member
- May 3, 2020
- 2,684
- 4,315
Putin kamatia hapohapo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo ni saizi yenu mumwajibishe menyewe🏃Ndugu zangu,
Kama ni kweli Januari Makamba alifanya maamuzi kwa utashi wake binafsi kama waziri kukiuka maamuzi ya Bunge na kufuta tozo ya shilingi 100 kwenye mafuta ya petroli na kwa sababu Rais Samia kasema "waziri hakuangalia kwa mapana yake"
Ni afya kwa Waziri Makamba akakaa pembeni la sivyo Bunge limuwajibishe.
Sio Tanzania wala Africa kwa ujumla wakeNdugu zangu,
Kama ni kweli Januari Makamba alifanya maamuzi kwa utashi wake binafsi kama waziri kukiuka maamuzi ya Bunge na kufuta tozo ya shilingi 100 kwenye mafuta ya petroli na kwa sababu Rais Samia kasema "waziri hakuangalia kwa mapana yake"
Ni afya kwa Waziri Makamba akakaa pembeni la sivyo Bunge limuwajibishe.
Umeugonga Usingizi wa mleta mada!Hata yule mwenye PhD ya uchumi anaetaka pesa za USAID azipangie matumizi ajitafakari kwa hii kauli.
Vijana wa tumbo moja wanagombana. January katangaza hivi, Mwigulu kamsema kwa MamaNdugu zangu,
Kama ni kweli Januari Makamba alifanya maamuzi kwa utashi wake binafsi kama waziri kukiuka maamuzi ya Bunge na kufuta tozo ya shilingi 100 kwenye mafuta ya petroli na kwa sababu Rais Samia kasema "waziri hakuangalia kwa mapana yake"
Ni afya kwa Waziri Makamba akakaa pembeni la sivyo Bunge limuwajibishe.
Wewe unaamini kamba za makamba jr.?Ila mlienda UAE mwaka jana November, mkasema mafuta yataaanza kushuka Bei January mwaka huu.
Lakini hayakushuka. Sasa si mlikua mnaongopa?
Kwani hapa kwetu mafuta yamepanda lini? Vita ya Ukrain ina mwezi sasa. Acheni kujilinganisha na mataifa makubwa.Kwa mujibu wako wewe timu mwenda zake, HUONI U.K, GERMAN, USA, INDIA WANANCHI WANALALAMA JUU YA BEI YA MAFUTA KWA GALON YAMEPANDA ALMOST MARA MBILI,/ PENDA KUJUA PIA MAMBO YA KIMATAIFA.
Shetani mwingine katika ubora wake,mavitu yalianza kupanda bei kabla ya vita ya Ukraine,Leo Rais Samia amepokea ripoti ya CAG Ikulu Dodoma na kuongelea mambo kadhaa ikiwemo suala la mafuta. Rais Samia amesema waziri husika aliondoa tozo ya Tsh 100 kwenye lita ya mafuta bila kuangalia upana wake ikiwemo tayari ilikuwemo kwenye bajeti ambayo ilipitishwa na Bunge hivyo Rais ameagiza irejeshwe.
Rais Samia ametaka wananchi kuambiwa ukweli kwamba nauli zitapanda na usafirishaji wa bidhaa umepanda, gharama ambazo zitaingizwa kwenye bei za vitu.
Kuhusu bei ya mafuta ya kula ameomba tathmini ya tozo iliyowekwa kwenye mafuta yanayotoka nje ili kulinda viwanda vya ndani itazamwe tena kwani viwanda hivyo vya ndani havizalishi.
========
Rais Samia: Bei zimepanda kwa bidhaa nyingi tunazoagiza kutoka nje lakini kuna upandaji wa bei za mafuta, mafuta yamekuwa yakipanda nadhani kutoka mwaka jana katikati ya mwaka.
Tukachukua hatua ya kupunguza tozo ndani ya mafuta kwa mara ya kwanza ili kushusha bei ya mafuta kwa wananchi lakini mafuta yameendelea kupanda.
Kipindi hiki cha pili mafuta yamepanda kwa 156 kwa lita, waziri akaona nikitoa shilingi mia yapande kwa shilingi 56 nitaleta unafuu ndani ya nchi lakini kwa bahati mbaya hakuangalia kwa upana zaidi ile ilikuwa tayari iko kwenye bajeti iliyopitishwa na bunge kwahiyo kulikuwa na utata kidogo, tumekaa kama Serikali tumerekebisha.
Ile shilingi iliyotoka, nimeagiza irudishwe na tathmini tuliyofanya hata kama ile shilingi tungeitoa, kwa mwenendo wa upandaji wa mafuta duniani, bado isingekuwa na impact ila tungejikosesha kile ambacho tunakifanya, kwahiyo tumeamua shilingi irudishwe.
Wabunge wenye maeneo yenu, mawaziri mnaosimamia sekta waambieni wananchi ukweli, vita ya Russia na Ukraine imepandisha sana bei ya mafuta na mafuta yanapopanda ndio kila kitu kinapanda.
Nauli zitapanda, usafirishaji wa bidhaa zitapanda. Sasa hivi kutoa kontena China ya bidhaa kuleta Tanzania walikuwa wanalipa kontena ya ft 40 dola 1500, sasa hivi ni dola 8,000-9,000. Hii inaenda kuingia kwenye bidhaa anazozileta kwahiyo waambieni wananchi ukweli, wasikae tu kulaumu Serikali haisemi kitu.
MAFUTA YA KULA
Rais Samia: Nakumbuka nilikuagiza waziri wa fedha kwamba katika bajeti yetu tunayoimaliza tuliingiza kitu katika mafuta ya kula nadhani na ya nyuma yake ili kulinda viwanda vya ndani nadhani kwenye uzalishaji lakini pamoja na kuongeza hiyo kitu kuzuia mafuta ya nje yasije, viwanda vya ndani ndio vimefungwa kabisa hata huo uzalishaji wenyewe, kwahiyo naomba litizameni tena.
Kama haitusaidii ondoeni ili mafuta ya nje yaingie angalau hata kama bei itakuwa kubwa lakini wananchi wana mafuta ya kutumia. Sasa mmezuia ya nje hayaingii, ndani hayazalishwi, wananchi wanapiga kelele bila shaka mafuta yatapanda bei kwa kiasi kikubwa, nendeni katazameni vipengele vitakavyoleta unafuu kwa wananchi.
=> Kwa mfano kwenye bei ya mafuta Afrika Mashariki na kati Tanzania ndio ina bei ya chini kabisa ya mafuta lakini wenye sekta hawasemi, wamekaa tu wanajifungia.
PIA, Soma=> Rais Samia aagiza tozo za mafuta kupunguzwa
Acha nae anakunywa chai ya chamwino huyoMpuuzi wewe mafuta yaliagiza Dec 2021 tukaambiwa nafuu tutaanza kuiona March 2022 badala yake ndiyo yanapaa kabisa