Rais Samia: Nimeona utani baada ya Simba kushinda 7-0, waambieni fedha bado zipo tupieni magoli wavuni

Rais Samia: Nimeona utani baada ya Simba kushinda 7-0, waambieni fedha bado zipo tupieni magoli wavuni

Tunajua michezo Ina umuhimu wake Kwa Taifa na mtu mmoja mmoja kiafya, na pia motisha ni muhimu. Na nikiwa kama mwanasimba nimefurahi Jana tumezichota haswa...

Lakini....kama pesa zipo...why zisipelekwe NHIF kwenye mfuko wa Bima ya Afya Kwa watoto isaidie watoto huko!?

Au niache kimbelembele...!?
 
Hizo pesa zingepelekwa kununua madawati na madawa.

Hao wachezaji kufunga ndio kazi yao na wanalipwa kwa kufanya hivyo.

Huo ni ufujaaji wa fedha za uma.
Mlizokuwa mnagawa nyie?
 
Nimemkubali sana Mh Rais Dr SSH kwa kutenga muda wake kupitia maoni ya watu mbalimbali mitandaoni ,amefanya vyema sana...Kiongozi makini ni yule anayepitia maoni ya watu na kuyafanyia kazi.
 
Hizo pesa zingepelekwa kununua madawati na madawa.

Hao wachezaji kufunga ndio kazi yao na wanalipwa kwa kufanya hivyo.

Huo ni ufujaaji wa fedha za uma.
Wewe nyamaza huna ulijualo
 
RAIS wetu Msikivu tunakuomba THAMANI YA MAGOLI YA SIMBA IWE 10M kwakuwa wapo Champions League na YALE ya yanga wape 5M maaana wako kombe la Loosers hivyo Workload ni tofauti katika ushindi wao. Hongera kwa kupitia maoni yetu.
Kama ndio hivyo bas kusingekua na team ya kupigwa 7 kwenye hayo mashindano
 
....
Screenshot_2023-03-19-11-40-23-89_0b2fce7a16bf2b728d6ffa28c8d60efb.jpg
 
Back
Top Bottom