Rais Samia: Nimeona utani baada ya Simba kushinda 7-0, waambieni fedha bado zipo tupieni magoli wavuni

RAIS wetu Msikivu tunakuomba THAMANI YA MAGOLI YA SIMBA IWE 10M kwakuwa wapo Champions League na YALE ya yanga wape 5M maaana wako kombe la Loosers hivyo Workload ni tofauti katika ushindi wao. Hongera kwa kupitia maoni yetu.
Punguzeni njaa, iyo ni kama bonus usitake kumpangia boss akupe ngapi? Anaweza hata kuiondoa Hamna sheria inamlazimisha kuwapa mnachotamani. Siajabu hata mkipewa 10 mtataka 15 huku mkisingizia akina Raja, Mamelodi wanawaonea ni timu kubwa sana kwenu..
Timu imefungwa goli 7 na anayeshika nafasi ya pili kwenye ligi, je angekutana na anayeongoza ligi ingekuwaje??
Au hata Azam aliyechukua Point 4 kwako kwenye ligi, angekula nyingi tuu.. Punguzeni mbambamba.
 
Huna Ubongo kichwani UTI imeshatafuna kichwa umebakiza maji tu
 
Nchi ya kipumbavu sana.

Majasho ya walala hoi yanateketea kwa mambo ya kipumbavu kabisa.

Ukizaliwa Afrika wewe umelaaniwa
Ulivyomjinga hujui kwny Mapato ya Mlangoni peke yake pesa itayokatwa kama kodi ya Mapato na VAT ni kubwa kuliko hicho kilichotolewa
 
RAIS wetu Msikivu tunakuomba THAMANI YA MAGOLI YA SIMBA IWE 10M kwakuwa wapo Champions League na YALE ya yanga wape 5M maaana wako kombe la Loosers hivyo Workload ni tofauti katika ushindi wao. Hongera kwa kupitia maoni yetu.
Makolo mnahara sana
Screenshot_20230322-034746~2.jpg
 
Back
Top Bottom