nchi ya kipumbavu sana
majasho ya walala hoi yanateketea kwa mambo ya kipumbavu kabisa
ukizaliwa Afrika wewe umelaaniwa
Hata wasaidizi wake hupitia ila wanajifanya hawapitii.Nimemkubali sana Mh Rais Dr SSH kwa kutenga muda wake kupitia maoni ya watu mbalimbali mitandaoni ,amefanya vyema sana...Kiongozi makini ni yule anayepitia maoni ya watu na kuyafanyia kazi.
Magoli yenyewe mabayaa, Simba mna sifa nyie๐RAIS wetu Msikivu tunakuomba THAMANI YA MAGOLI YA SIMBA IWE 10M kwakuwa wapo Champions League na YALE ya yanga wape 5M maaana wako kombe la Loosers hivyo Workload ni tofauti katika ushindi wao. Hongera kwa kupitia maoni yetu.
Hili nalo neno, ingawa wengine watasema ni ubaguziRAIS wetu Msikivu tunakuomba THAMANI YA MAGOLI YA SIMBA IWE 10M kwakuwa wapo Champions League na YALE ya yanga wape 5M maaana wako kombe la Loosers hivyo Workload ni tofauti katika ushindi wao. Hongera kwa kupitia maoni yetu.
We sema ni Yanga mwenzangu,povu lisingekutoka kama hayo magoli angefunga Yanganchi ya kipumbavu sana
majasho ya walala hoi yanateketea kwa mambo ya kipumbavu kabisa
ukizaliwa Afrika wewe umelaaniwa
KiacheTunajua michezo Ina umuhimu wake Kwa Taifa na mtu mmoja mmoja kiafya, na pia motisha ni muhimu. Na nikiwa kama mwanasimba nimefurahi Jana tumezichota haswa...
Lakini....kama pesa zipo...why zisipelekwe NHIF kwenye mfuko wa Bima ya Afya Kwa watoto isaidie watoto huko!?
Au niache kimbelembele...!?
Nani asiyependa umaarufu, mbona wapo ma DC na ma RC waliounga mkono kauli ya rais ya kutoa fedha kwa kujitangaza? Pia umesema "HUENDA"Hizo pesa huenda hata hatoi yeye bali wadau wake kwa mlango wa nyuma
Huo utakuwa ubaguzi,na kisiasa haijakaa vizuriHili nalo neno, ingawa wengine watasema ni ubaguzi
Nina imani wamejipendekeza kwa Samia wengi tu kuwa watamsapoti kuchangia goli...hii ni fursa wakuuNani asiyependa umaarufu, mbona wapo ma DC na ma RC waliounga mkono kauli ya rais ya kutoa fedha kwa kujitangaza? Pia umesema "HUENDA"
Waambieni na CAF pia wabaguzi.Simba ameingia robo fainali anapewa 1.5 billioni.Huo utakuwa ubaguzi,na kisiasa haijakaa vizuri
Ukumbuke Wana Simba na Yanga ni watanzania hawa hawa
Masalia ya mwendazake mnateseka aiseeHizo pesa zingepelekwa kununua madawati na madawa.
Hao wachezaji kufunga ndio kazi yao na wanalipwa kwa kufanya hivyo.
Huo ni ufujaaji wa fedha za uma.
Wizara ina budget, je huwa kuna fungu la vitu kama hivyo?Wizara ya Michezo
๐ฎHayakuhusu, hebu mwacheni rais wetu afanye anayoona ni mema kwa watanzania
Kuuliza sio ujinga mkuu. Tatizo hii nchi imejaa mashabiki wafuata mkumbo ambao hawataki kuumiza akili zao kuwaza mamboHahahahha mkuu una nongwa sana ujue
Unadhani rais mjinga, wenzako wanazitumia hizo timu kuitangaza nchi kwenye medani za kimataifa return yake kiuchumi na kisiasa ni zaidi ya hiyo milioni 5,niambie ni rais gani ambae hakujihusisha na michezo kuanzia Nyerere aliyejenga viwanja vya mpira kwa mgongo wa ccm nchi nzima,mwinyi na kichwa cha mwenda wazimu,mkapa na uwanja wa kimataifa, kikwete na "mnashinda kwa maarifa sio ndio maana mkienda nje.."magufuli simba na yanga leteni kombe la afrika na sasa Samia.Hizo pesa zingepelekwa kununua madawati na madawa.
Hao wachezaji kufunga ndio kazi yao na wanalipwa kwa kufanya hivyo.
Huo ni ufujaaji wa fedha za uma.
Hili swali siyo mahala pake hapa,we twende tusherehekee ushindi huu,hela hizi tule tu.Mimi nataka kufahamu je hizi pesa huyu raisi anazitoa wapi? Je ni mshahara wake au anafuja kodi (majasho) ya walalahoi?