Punguzeni njaa, iyo ni kama bonus usitake kumpangia boss akupe ngapi? Anaweza hata kuiondoa Hamna sheria inamlazimisha kuwapa mnachotamani. Siajabu hata mkipewa 10 mtataka 15 huku mkisingizia akina Raja, Mamelodi wanawaonea ni timu kubwa sana kwenu..
Timu imefungwa goli 7 na anayeshika nafasi ya pili kwenye ligi, je angekutana na anayeongoza ligi ingekuwaje??
Au hata Azam aliyechukua Point 4 kwako kwenye ligi, angekula nyingi tuu.. Punguzeni mbambamba.