Rais Samia: Sifurahii Mgogoro wa Yanga na Feitoto. Nataka umalizike

Habari Wana Yanga Wenzangu, kiufupi na Mimi ni Yanga Die Hard
Sa hivi SAA Mbili Usiku wapo wanapiga Soga na Samia, wakitoka hapo wamechoka, wanaenda kuoga, wanaenda Airport hiyo lazima itakuwa at least SAA Sita usiku. Wanaruka na Ndege. Watafika wamechoka, kesho mechi na Mbeya City, Ijumaa na Prison, Jumatatu na Azam. Hili Fatique la kulazimishana tukutane Tanga Jumatatu.
Hiyo Jumatatu Azam watatupiga kama Ngoma. Nipo nimekaa Pale, tukishinda mniite Umbwa!!
First eleven haiendi kucheza kifupi game zote mbili tutapoteza purposely ila final Azam hataweza kusumbua tutashinda ila concern Yako ni valid kabisa kwamba hili lingeweza kufanyika trh 13/14
 
Nchi isiyo na mafanikio yoyote yale yaliyo ya maana, kwenye nyanja yoyote ile, inaona timu kufikia fainali ya kakombe kaliko obscure duniani kuwa ni mafanikio?

Pity the fools.
Ndio CCM walivyo hao, kama kiongozi wao mkuu anaona hivyo wale anaowaongoza si ndio vipofu kabisa. Tanzania inahitaji mabadiliko makubwa sana. Usanii mtupu.
 
Habari Wana Yanga Wenzangu, kiufupi na Mimi ni Yanga Die Hard
Sa hivi SAA Mbili Usiku wapo wanapiga Soga na Samia, wakitoka hapo wamechoka, wanaenda kuoga, wanaenda Airport hiyo lazima itakuwa at least SAA Sita usiku. Wanaruka na Ndege. Watafika wamechoka, kesho mechi na Mbeya City, Ijumaa na Prison, Jumatatu na Azam. Hili Fatique la kulazimishana tukutane Tanga Jumatatu.
Hiyo Jumatatu Azam watatupiga kama Ngoma. Nipo nimekaa Pale, tukishinda mniite Umbwa!!
Hizo ni game za kukamilisha ratiba, watacheza kina Nkane halafu wana njaa ya mpira.
 
Back
Top Bottom