Rais Samia: Sifurahii Mgogoro wa Yanga na Feitoto. Nataka umalizike

Rais Samia: Sifurahii Mgogoro wa Yanga na Feitoto. Nataka umalizike

Hahaha kwa nchi zetu hatujafika huko, washauri yanga "wadinde" kama wanauthubutu. Sasa hivi huko walipo wenyewe tu wamelowa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio Nchi haijafika huko ila FIFA hawataki maamuzi ya kimpira ya ingiliwe na serikali na sometimes kama wakijua serikali imeingilia kati mnaweza kupigwa bani au hujui kwamba hili swala lishafika CAS? Mpaka hapo FIFA wanajua.
 
Magazeti ya kesho: SAKATA LA FEI TOTO LAMALIZWA KWA UBWABWA WA IKULU.
 
Udhaifu kwa uongozi wa sasa ila FIFA ilivyojengwa haitakiwi kuingilia maswala ya kisiasa ya nchi yyt na ndio maana hata wao FIFA maamuzi yao hawataki serikali iingilie. Sema sasa hivi kuna udahaifu FIFA still US kama wamefanikiwa kuibana.

Maana alichofanya Russia,ndicho alichofanya US kwa Libya,Iraq na Afghanistan ila US hakuguswa.

mpaka hapa unakuwa umekubali hoja ya mdau uliyem quote matola kwamba fifa na siasa zinaingiliana. Halafu ukisema ni udhaifu wa uongozi wa sasa, kumbuka fifa wamepishana na sera za west kule qatar na wameshinda. Sioni namna US inavyoweza kuibana fifa, unaweza elezea?
 
siasa inaingia kwenye mpira,iweje awaamuru wamalize tatzo la fei kisa mzanzibar mwenzie acha sheria itumike kwenye suala hli sio kutoa amri kwa vile yeye ni raisi wa nchi.
Jaman fifa mko wapi mje muifungie hii nchi kimichezo kelele zimekuwa nyingi.
 
siasa inaingia kwenye mpira,iweje awaamuru wamalize tatzo la fei kisa mzanzibar mwenzie acha sheria itumike kwenye suala hli sio kutoa amri kwa vile yeye ni raisi wa nchi.
Jaman fifa mko wapi mje muifungie hii nchi kimichezo kelele zimekuwa nyingi.

Mchawi wa Gambosh huyu hapa
 
Mama huko anakoelekea siko, kama kaamua kutupongeza Yanga kwa mlo wa jioni. Atoe pongezi mengine yampite.
Yeye ni Raisi wa nchi na si Raisi wa mpira wa miguu, siasa zisiingie kwenye mpira. Mambo ya ndani ya soka awaachie wanaohusika. Yeye abaki kutoa motisha na kupongeza.
Dawa imewaingia sasa sijui mtatumia ndege yake au ?
 
Huyo aondoke tu, tulifika fainali bila yeye. Mpaka hapa akili, itakuwa imemkaa sawa.
Haya mambo Serikali kuingilia soka, tutakuja fungiwa. Kuna mtu alitaka kusema hili, ila limetumiwa kisiasa sana.
Ah wewe hawezi fungiwa kisa mama kasema. Tulieni wananchi mwachie i dogo akacheze kule roho inataka. Mlimdharau dogo sana yaani ya ga yakushindwa kumpa fei billion moja kwa kipaji chake kile kweli? Au ndio roho mbaya kiwa dogo atawatomber dada wa wana yanga🤣🤣🤣🤣🤣
 
siasa inaingia kwenye mpira,iweje awaamuru wamalize tatzo la fei kisa mzanzibar mwenzie acha sheria itumike kwenye suala hli sio kutoa amri kwa vile yeye ni raisi wa nchi.
Jaman fifa mko wapi mje muifungie hii nchi kimichezo kelele zimekuwa nyingi.
Maadam mlipokea zile million za hapa na pale kwa kukenua meno plus zile dezo za kupewa ndege na ubwabwa kisha mkaingia uwanjani na mabango ya kisiasa "ASANTE MAMA", kwanini hili msilipokee pia.

Kujifanya kuzijua sheria na kanuni wakati ambao haziko upande wako, huku ukizipuuza wakati ambao zinakunufanisha, ni ujinga na unafiki uliotukuka.
 
Huna tofauti na mbumbumbu in Rage's voice
Mkuu unamjua vizuri nyani ngabu wewe? Au unaongea ushabiki tu?

Kwa taarifa yako wewe na nyani ngabu ni mbingu na ardhi.

Kiwango cha uelewa cha huyu mtu uliyemwita mbumbumbu ni kikubwa mnoooo kulinganisha na chako.Mimi nimejiunga jf 2014 kama sikosei,moja ya member ambao wana akili kubwa ni huyu.
Wewe umejiunga 2023 yeye yupo tangu 2006 hebu jipime.

Hata hivyo comment yake ipo ki fact sana sijajua kwanini wewe umetoa lugha hii.

Ni kweli na ipo wazi kuwa kuna mambo ya msingi sana ya kutakiwa kufanya katika taifa na sio kuendekeza kukusanyika kwenye vitu kama et timu kufika et final.

Sorry kama nimekukwaza pia.
 
#mac alpho;hiyo ni sawa na kumuitia mtoto pipi huku umeshka fimbo,FIFA inabidi ihusike mpira na siasa no
 
Back
Top Bottom