mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,981
- 35,581
Akili zenu mnazijuwaga wenyewe, Feitoto anakwenda kubadirishana na Ardhi yenu lakini macho hamna.
Mnashangilia ujinga wa maslahi ya Wazanzibar.
Una chuki lol
Pole lakini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akili zenu mnazijuwaga wenyewe, Feitoto anakwenda kubadirishana na Ardhi yenu lakini macho hamna.
Mnashangilia ujinga wa maslahi ya Wazanzibar.
Ndio Nchi haijafika huko ila FIFA hawataki maamuzi ya kimpira ya ingiliwe na serikali na sometimes kama wakijua serikali imeingilia kati mnaweza kupigwa bani au hujui kwamba hili swala lishafika CAS? Mpaka hapo FIFA wanajua.Hahaha kwa nchi zetu hatujafika huko, washauri yanga "wadinde" kama wanauthubutu. Sasa hivi huko walipo wenyewe tu wamelowa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Rais "ameomba" wao Yanga ni kitu gani hadi wasielewe, subiri uone kama watasubiri kukumbushwa.Raisi anaitafutia Yanga matatizo. Maswala ya mpira hayaingiliwi na wanasiasa.
Udhaifu kwa uongozi wa sasa ila FIFA ilivyojengwa haitakiwi kuingilia maswala ya kisiasa ya nchi yyt na ndio maana hata wao FIFA maamuzi yao hawataki serikali iingilie. Sema sasa hivi kuna udahaifu FIFA still US kama wamefanikiwa kuibana.
Maana alichofanya Russia,ndicho alichofanya US kwa Libya,Iraq na Afghanistan ila US hakuguswa.
Engineer wa Nini, au ukisikia tu engineer basi ni Kila kitu!Rais wa Yanga ni Engineer, wewe una taaluma gani?
Hakuna chakula cha bure bure.😂Kumbe mualiko haukuwa wa hivihivi!!!🤔🤔🤔
siasa inaingia kwenye mpira,iweje awaamuru wamalize tatzo la fei kisa mzanzibar mwenzie acha sheria itumike kwenye suala hli sio kutoa amri kwa vile yeye ni raisi wa nchi.
Jaman fifa mko wapi mje muifungie hii nchi kimichezo kelele zimekuwa nyingi.
Bulljive Nyani NgabuAkili zenu mnazijuwaga wenyewe, Feitoto anakwenda kubadirishana na Ardhi yenu lakini macho hamna.
Mnashangilia ujinga wa maslahi ya Wazanzibar.
Dawa imewaingia sasa sijui mtatumia ndege yake au ?Mama huko anakoelekea siko, kama kaamua kutupongeza Yanga kwa mlo wa jioni. Atoe pongezi mengine yampite.
Yeye ni Raisi wa nchi na si Raisi wa mpira wa miguu, siasa zisiingie kwenye mpira. Mambo ya ndani ya soka awaachie wanaohusika. Yeye abaki kutoa motisha na kupongeza.
Ah wewe hawezi fungiwa kisa mama kasema. Tulieni wananchi mwachie i dogo akacheze kule roho inataka. Mlimdharau dogo sana yaani ya ga yakushindwa kumpa fei billion moja kwa kipaji chake kile kweli? Au ndio roho mbaya kiwa dogo atawatomber dada wa wana yanga🤣🤣🤣🤣🤣Huyo aondoke tu, tulifika fainali bila yeye. Mpaka hapa akili, itakuwa imemkaa sawa.
Haya mambo Serikali kuingilia soka, tutakuja fungiwa. Kuna mtu alitaka kusema hili, ila limetumiwa kisiasa sana.
Maadam mlipokea zile million za hapa na pale kwa kukenua meno plus zile dezo za kupewa ndege na ubwabwa kisha mkaingia uwanjani na mabango ya kisiasa "ASANTE MAMA", kwanini hili msilipokee pia.siasa inaingia kwenye mpira,iweje awaamuru wamalize tatzo la fei kisa mzanzibar mwenzie acha sheria itumike kwenye suala hli sio kutoa amri kwa vile yeye ni raisi wa nchi.
Jaman fifa mko wapi mje muifungie hii nchi kimichezo kelele zimekuwa nyingi.
Sio kidogo hayo,angalau yangepunguza tatizo.Madawati 1900
Mkuu unamjua vizuri nyani ngabu wewe? Au unaongea ushabiki tu?Huna tofauti na mbumbumbu in Rage's voice