Rais Samia: Sifurahii Mgogoro wa Yanga na Feitoto. Nataka umalizike

Mahamuzi ya fei toto yameshatolewa leo na dogo tayari yupo huru tumuone uyo wa kupinga kauli ya Rais.
 
Punguza ujinga kijana,nani alikwambia kua akili ya mtu inapimwa kwakumuangalia amejiunga JF lini? Huyo Nyani hala lolote zaidi yakuchomekea vingereza tu,nilimbana kwenye issue fulani mpaka akani "block" acha kujipendekeza,kama unamuabudu basi wewe endelea tu kumuabudu ila usilazomishe kila mtu amuabudu.
 
Mahamuzi ya fei toto yameshatolewa leo na dogo tayari yupo huru tumuone uyo wa kupinga kauli ya Rais.
Wewe usiichukie poa Yanga. Yaani Fei atoke Yanga kwa mfano aende bure Simba kwkuwa Rais ametamka. Ukweli ni kwamba anaweza kuondoka lakini atapigwa bonge la mkwara na Kutakuwa na masharti!
 
Kwenda CAS ni pesa ndg, kule hawaendi bure hivyo mambo yalikuwa hayajafika huko.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanasheria wa Fei juzi hapa baada ya mahojiano na Clouds, alisema washapeleka kesi CAS ya kuwashtaki TFF kwamba kwa nini hawataki kuvunja mkataba wa Fei na Yanga na thread humu JF ipo.
 
Hatma ya fei Toto ,iko kwa mtu mmoja tu,wala sio Rais,uyo akiweka ngumu ,dogo ataendelea kufurukuta
Hili swala limekwisha tayari.Habari za born town sijui mtu mmoja tu hizo ni hadithi.Tujipe week moja tu mbele,tutayaona matokeo ya 'ombi la Mama'.
 
Kauli ya Rais ni kauli ya serikali yani apo tayari kesi imeshamalizwa tuone yule atakaepingana na Rais apo yanga kama Engineer ersi ajarudishwa kwao Somalia na yule bosi wenu wa pale salamander ajapelekwa kwao YEMEN
Sio suala la kufurahia, fifa walipopiga marufuku serikali kuingilia soka walikua kutakua na mambo kama haya ya leo
 
Unasumbuliwa na maruerue wewe!

Niliku block wapi na lini wewe?
 
Nchi isiyo na mafanikio yoyote yale yaliyo ya maana, kwenye nyanja yoyote ile, inaona timu kufikia fainali ya kakombe kaliko obscure duniani kuwa ni mafanikio?

Pity the fools.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaa mnooo,
 
Namnukuu Mhe.rais Dr.Samia suluhu Hasan "Nilimuuuliza naibu waziri mh.Hamisi mwinijuma(FA) Karia ni timu gani akajibu ni Coastal nikasema hapa namjua ni simba"

watu:woyoooooooooo
Kheeeeh kulikua na mipashooo hukooo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kama Mh SSH amesema wamalizane na Amijei basi nawashauri Yanga wachukue tu hizo 112m wamuachie aende zake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumekuchaaaaaaa!!!!!!!
Hadi wee umenyweaaaa??? DJ waleteeeeeeee wakisindikizwa na wimbo wa marioo "Yanga tamu"
 
Poleeeeeee umenyweaaaaaa dadekiiiiii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pyeeeee pyeeee pyeeee fyuuuuuuuh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…