Wakitoka hapo shuguli nyingine wapi maana najuwa shuguli hii itaenda mpaka 2024
Ova
Wakimaliza kula pilau hapo, wamepewa ndege iwapeleke mbeya leo kesho wanacheza kukamilisha mzunguko wa ligi halafu wanakabidhiwa kombe lao, baadae wataalikwa chamwino ikulu dodoma ili wakamuoneshe kombe la ubingwa yaani leo walienda kuonesha medali halafu chamwino ni kombe sasa