Rais Samia: Sifurahii Mgogoro wa Yanga na Feitoto. Nataka umalizike

Rais Samia: Sifurahii Mgogoro wa Yanga na Feitoto. Nataka umalizike

Habari Wana Yanga Wenzangu, kiufupi na Mimi ni Yanga Die Hard
Sa hivi SAA Mbili Usiku wapo wanapiga Soga na Samia, wakitoka hapo wamechoka, wanaenda kuoga, wanaenda Airport hiyo lazima itakuwa at least SAA Sita usiku. Wanaruka na Ndege. Watafika wamechoka, kesho mechi na Mbeya City, Ijumaa na Prison, Jumatatu na Azam. Hili Fatique la kulazimishana tukutane Tanga Jumatatu.
Hiyo Jumatatu Azam watatupiga kama Ngoma. Nipo nimekaa Pale, tukishinda mniite Umbwa!!
 
Kwenye dinner ya usiku huu iliyoandaliwa na Mh. Rais SSH, amesema hafurahii kuona timu zikiwa na migogoro na wachezaji kwani inarudisha nyuma maendeleo ya michezo nchini.

Ameyasema hayo aki-refer mgogoro wa Fei Toto na Yanga, huku akisema anasubiri mrejesho wa huo mgogoro ukishamalizika.

My Take: Ni aibu kwa TFF na viongozi wa timu hasa kubwa kama Yanga na Simba kushindwa kusuluhisha migogoro na wachezaji hasa wa ndani, kwani mara nyingi huwa ni kwa sababu ya maslahi.
 
Back
Top Bottom