Rais Samia: Sifurahii Mgogoro wa Yanga na Feitoto. Nataka umalizike

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumekuchaaaaaaa!!!!!!!
Hadi wee umenyweaaaa??? DJ waleteeeeeeee wakisindikizwa na wimbo wa marioo "Yanga tamu"

Mkuu wa Nchi akishasema kilichobaki ni utekelezaji tu.

This case is closed! Boma Ye! Boma Liwanza.
 
Tufanye assumption wewe ndio Hersi, na umeshashiba pilau la Ikulu, Kataa ombi la raisi kwa kujaza sehemu iliyo wazi.

RAISI WA JMT: Naomba suala la Fei mlimalize.

Hersi:______________________
Unalimaliza vp swala ambalo lipo CAS,nyie uzi si mlifungua uzi Fei kaenda kushtaki TFF CAS,manake wameenda na nakala zote za kesi tatu ambazo Yanga walishinslda.
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleeeeeeeh wee.
Watu washapewa order huko, na wapeleke mrejesho haraka iwezekanavyoo.

Woiiiiiiiiih
Kwani waliokataa kukaa mezani kuzungumza hili swala ni nani? Ktk option zilizotolewa na Yanga ni kukaa mezani kuzungumza ili kila mmoja apate maslahi yake.
 
Unalimaliza vp swala ambalo lipo CAS,nyie uzi si mlifungua uzi Fei kaenda kushtaki TFF CAS,manake wameenda na nakala zote za kesi tatu ambazo Yanga walishinslda.
Kesi ikienda CAS huwa haifutwi? Embu tupe elimu.
 
Ujue mpaka kesi inaenda CAS maana yake FIFA wanajua?

Maana ktk kesi hiyo wameambatanisha na zile hukumu tatu,so mpaka hapo FIFA wanajua na FIFA wanapendaga kusema hawataki maamuzi yawe influenced na third part.

Halafu na kuuliza Rais kasema nendeni mkalimalize, sasa mtalimaliza vip wakati wao hawataki kuja kuongea na Yanga na Yanga washatoa room ya mazungumzo na Fei pamoja na watu wake.
 
Swali ni moja nimekuuliza boss.
Kesi ikienda CAS haifutwi mpaka wao ndo waitatue? Tupe elimu na hivyo vifungu tuelimike.
 
Swali ni moja nimekuuliza boss.
Kesi ikienda CAS haifutwi mpaka wao ndo waitatue? Tupe elimu ya hivyo vifungu tuelimike.
Nimekwambia mpaka sasa FIFA wanajua, pili jana Rais kaongea mbele ya hadhara,watu If baada ya maamuzi wakasema hii imekuwa under influence ya rais wa nchi, huoni mpira wa bongo utaingia matatani.

Rais kasema nendeni mkazungumze,Yanga wamwemwita Fei tokea zamani waje wazungumze, je mpaka sasa nani anakwamisha hayo mazungumzo.
 
Fifa wakijua tafsiri yake ni kwamba kesi haiwezi futwa huko CAS?

Hayo ya kuitwa Fei ni ya kale tuachane nayo, Tuongelee ya Ya sasa, Raisi kawaambia katatueni mlete mrejesho na wewe umesema kesi ipo CAS na FIFA wanajua. Sasa ndo utueleze ikiwa CAS na FIFA wakijua kesi haiwezi futwa?
 
Fifa wakijua tafsiri yake ni kwamba kesi haiwezi futwa huko CAS?

Hayo ya kuitwa Fei ni ya kale tuachane nayo, Tuongelee ya Ya sasa, Raisi kawaambia katatueni mlete mrejesho.
Unajua maana under influence of third part.

Sasa kutatua maana yake si kukaa kwenye meza ya mazungumzo ambayo hiyo room ya mazungumzo Yanga walisha itoa.

Au ww ulitaka utatuliwe vip kwa njia gani?

Manake iwe isiwe lazimo mazungumzo yafanyike na ndio issue itatatuliwe hamna alternative nyingine.
 
Raisi hajawaambia wakatatue kwa kupigana. Obvious ni mazungumzo sasa Usikimbie hoja yako ya kuwa kesi ipo CAS na FIFA uliyoileta. Swali hapa ni kutokufutika kwa kesi huko CAS sababu FIFA wanajua. Tupe hiyo elimu maana mpaka sasa unakimbia kimbia tu. Kama kesi inaweza futwa sema inafutika mjadala uishe.
 
Kasome hii article may be utaelewa ninacho kimaanisha.FIFA hawataki maamuzi ya kimpira yawe influenced na third party (serikali),kosa kwamba hii issue si imefika CAS maana kuna thread ambayo na ww uliichangia.

Hii hoja yangu hujaijibu.

"Sasa kutatua maana yake si kukaa kwenye meza ya mazungumzo ambayo hiyo room ya mazungumzo Yanga walisha itoa.

Au ww ulitaka utatuliwe vip kwa njia gani?

Manake iwe isiwe lazimo mazungumzo yafanyike na ndio issue itatatuliwe hamna alternative nyingine."
 
Kasome hii article may be utaelewa ninacho kimaanisha.

Hii hoja yangu hujaijibu.

"Sasa kutatua maana yake si kukaa kwenye meza ya mazungumzo ambayo hiyo room ya mazungumzo Yanga walisha itoa.

Au ww ulitaka utatuliwe vip kwa njia gani?

Manake iwe isiwe lazimo mazungumzo yafanyike na ndio issue itatatuliwe hamna alternative nyingine."
Hiyo article naipitia ila kichwa cha habari tu kinaonyesha kinahusiana na serikali kufungiwa na fifa kwa kuingilia masuala ya mpira. Mm nimekuuliza iwapo taratibu zinaruhusu kufutwa kwa kesi iliyokwishafunguliwa CAS.

Hiyo hoja yako nimekujibu kuwa hayo ya zamani hayana maana sababu wameambiwa watatue. Kutaka kuyaleta ni kuleta kubishana tu na kutoka kwenye mada ya kufutwa kesi CAS. Fei anasema wamezungumza masaa 6, Yanga wanasema aje wazungumze, Raisi kamaliza kwa kuwaambia kaeni mtatue. Tuachane na hii hoja.
 
Hiyo article naipitia ila kichwa cha habari tu kinaonyesha kinahusiana na serikali kufungiwa na fifa kwa kuingilia masuala ya mpira. Mm nimekuuliza iwapo taratibu zinaruhusu kufutwa kwa kesi iliyokwishafunguliwa CAS.

Hiyo hoja yako nimekujibu kuwa hayo ya zamani hayana maana sababu wameambiwa watatue. Kutaka kuyaleta ni kuleta kubishana tu na kutoka kwenye mada ya kufutwa kesi CAS. Fei anasema wamezungumza masaa 6, Yanga wanasema aje wazungume, Raisi kamaliza kwa kuwaambia kaeni mtatue. Tuachane na hii hoja.
Amezungumza na Hersi na si Yanga, yeye aje na jopo lake la mawakili Yanga watakuja na jopo lao la mawakili wakae wazungumze,kwa maslahi yake na klabu.

Nakupa mfano Manara si alimtukana Karia,siku moja kabla ya maamuzi alienda kwa Karia kuomba msamaha ila Karia sio TFF kwani kuna chombo cha kusikiliza kesi kama hizo na Manara akapigwa ban. Mfano juzi Kamwe kamtukana Mgunda,Kamwe kamfuata na kamwomba msamaha, ila haizuii vyombo vya kisheria vya TFF kumchukulia hatua Kamwe.

Kuzungumza na Rais haina maana umezungumza na Yanga, formal way za mazungumzo kwenye mpira zinafahamika azifuate zipo hamna mkataba husio vunjika haupo na hiyo room Yanga wameitoa waje mezani na jopo lake la kisheria,Yanga nae aje hapo kitakacho angalia ni negotiations upande wa malipo na ndio maana ya mazungumza.

Kuongea na Hersi haina maana umeongea na Yanga,Kuongea na Karia haina maana umeongea na TFF na ndio maana Manara alipigwa ban.
 
Amezungumza na Hersi na si Yanga, yeye aje na jopo lake la mawakili Yanga watakuja na jopo lao la mawakili wakae wazungumze,kwa maslahi yake na klabu.

Nakupa mfano Manara si alimtukana Karia,siku moja kabla ya maamuzi alienda kwa Karia kuomba msamaha ila Karia sio TFF kwani kuna chombo cha kusikiliza kesi kama hizo na Manara kapigwa ban. Mfano Kamwe kamtukana Mgunda,Kamwe kamfuata na kamwomba msamaha, ila haizuii vyombo vya kisheria kumchukulia hatua Kamwe.

Kuzungumza na Rais haina maana umezungumza na Yanga, formal way za mazungumzo kwenye mpira zinafahamika azifuate zipo hamna mkataba husio vunjika haupo na hiyo room Yanga wameitoa waje mezani na jopo lake la kisheria,Yanga nae aje hapo kitakacho angalia ni negotiations upande wa malipo na ndio maana ya mazungumza.

Kuongea na Hersi haina maana umeongea na Yanga,Kuongea na Karia haina maana umeongea na TFF na ndio maana Manara alipigwa ban.
Usijifiche humo, njoo kwenye hoja yako uliyoiibua ya maelekezo ya kutatua kesi iliyo CAS na FIFA wanaijua.

Nikakuuliza wakihitaji kutatua taratibu haziruhusu kesi kufutwa CAS? Mpaka sasa majibu hutoi unang'ang'ana na mjadal wa Fei kuitwa asiende.

Utakuwa ulijiandikia tu ila hujui. Sasa sio dhambi kusema sifahamu iwapo taratibu zinaruhusu kufuta kesi ambayo imefunguliwa CAS au la.
 
Usijifiche humo, njoo kwenye hoja yako uliyoiibua ya maelekezo ya kutatua kesi iliyo CAS na FIFA wanaijua.

Nikakuuliza wakihitaji kutatua taratibu haziruhusu kesi kufutwa CAS? Mpaka sasa majibu hutoi unang'ang'ana na mjadal wa Fei kuitwa asiende. Haikuwa hoja.
Sasa nisifiche humo vip, Yanga ni taasisi Hersi atapita ataiacha taasisi.Kama kuzungumza si Hersi ndio kuvunja mkataba basi leo hii Manara angekuwa huru.

Hii hapa umelewa nini "India have been banned for third party influence".

Nimekuwekea link humu umeelewa third party intervention? Hili swala la Fei halija tolewa maamuzi kwenye chombo cha TFF ambacho kipo chini ya FIFA?

Wameenda kushtaki TFF ,maana yake wameambatanisha hukumu tatu za zile kesi za TFF ambazo zishafanyiwa maamuzi,ina maana mpaka sasa CAS washapokea kesi bado kupangwa tarehe, sawa itaondolewa je huoni kwamba itakuwa under influence of third part na ndio maamuzi yamefikiwa.

Sasa hoja ilikuwa nini?
na jana Rais kaongea nini?
na Yanga nao walitoa option?

Je ktk hizo option mazungumzo hayakuwepo?, mbona unazunguka kama dawa ya mbu ya kuchoma.

Nimekuuliza je wewe ulitaka ili swala litatuliwe vp? huja ni jibu.
 
HAYA. Swali moja kuhusu taratibu za kufuta kesi iliyokwishafunguliwa CAS maelezo mengi sana yasiyohusu hizo taratibu. Mm sijauliza kuhusu siasa kuingilia michezo.

Kuhusu kutatua hilo suala siyo kazi yangu, ni kazi ya Hersi na anajua la kufanya.
 
Mama huko anakoelekea siko, kama kaamua kutupongeza Yanga kwa mlo wa jioni. Atoe pongezi mengine yampite.
Yeye ni Raisi wa nchi na si Raisi wa mpira wa miguu, siasa zisiingie kwenye mpira. Mambo ya ndani ya soka awaachie wanaohusika. Yeye abaki kutoa motisha na kupongeza.
Msipende dezo dezo ofa zinaponza, hukufundishwa kwenu?
 
HAYA. Swali moja kuhusu taratibu za kufuta kesi iliyokwishafunguliwa CAS maelezo mengi sana yasiyohusu hizo taratibu. Mm sijauliza kuhusu siasa kuingilia michezo.

Kuhusu kutatua hilo suala siyo kazi yangu, ni kazi ya Hersi na anajua la kufanya.
Sio kazi ya Hersi ni kazi ya jopo la Fei na kamati ya Yanga,Hesri ni kama coordinator upande wa kamati ya Yanga. Issue je jopo la Fei litakuwa tayari kukaa kwenye meza ya mazungumzo.
 
Hizi ndo taratibu za huko CAS ukiwa unafuta kesi. Sawa.
 
Back
Top Bottom