Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
WE WA MITANO TENA TUAMBIE, HASARA IMETOKEA BAADA YA KIFO CHA MPENDWA?Serikali ni taasisi mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
WE WA MITANO TENA TUAMBIE, HASARA IMETOKEA BAADA YA KIFO CHA MPENDWA?Serikali ni taasisi mkuu
Wengi tumekuwa tukisema system within the system ifumuliwe...watamdaka tu mole! Itachukua muda lakini mhaini atapatikana.Hii ni hatari sana...ni wazi eidha jamaa yuko humo humo au source zake za taarifa ziko huko humo. Haiwezekani akawa na sensitive info kiasi hiki...hata siri zake rais maana yake jamaa anazipata....
Simlikuwa mnasema kuwa huyu CAG ameletwa hapo na Magufuri ili afiche madhaifu ya serikali, sasahivi anafichua madhaifu mnaanza Magufuri asingeliwatumbua, kwani Samia amejifunzia wapi kutumbua?huyo mkuu wa TPA alikuwa analiwa taming tu maana Muasibu wake mkuu Alisha simamishwa kitambo na Majariwa na kuagiza uchunguzi wa ubadhirifu ufanyike na lipoti itolewe,sasa kuna jipya gani hapo wakati watu tulikuwa tunasubiri lipoti ya Majariwa?Ingekua enzi za Mtetezi wa wanyonge hivi CAG angemtaja kweli huyu rafiki kipenzi wa mkulu?
ukisema hivo unakosea kiongozi ufanisi mbaya wa kiongozi sio reflection ya aliyemchagua huo ni ubadhilifu wa kiongozi mwenyeweWateule wa JPM hao sasa iweje wafikie hatua ya kuwa wezi? Hapa ndio napata picha JPM hakuwa mzalendo
Kigogo anajua mambo mangapi? Si amekuwa mtabiri tangu enzi za chuma JPM? Hivyo ni visingizio tu.Hujiuliz why Dg katumbuliwa baada ya Rais kusomewa Ripot na kutambua kua Dg hafai Kuna madudu Wakat before kigogo amesha jua inamaana kigogo alijua before kua fulan analiwa kichwa on time
Jafo katia huruma mnoo... Huwezi amini!!Kulikoni wamechill kwa wasi wasi kiasi hiki. View attachment 1736521
Mama kachachamaa wapigaji wote na majizi yote awamu hi ya mama watakoma, big up Mheshimiwa.
Kwahiyo unataka tuanze kujadili hadi mikao ya watu sio[emoji848]? Watu tunajadili hoja za muhimu hapa, wewe unakuja na hoja zako mrenda mrenda hapa.Kulikoni wamechill kwa wasi wasi kiasi hiki. View attachment 1736521
Unafikir habar alikua anapewa na NanKigogo anajua mambo mangapi? Si amekuwa mtabiri tangu enzi za chuma JPM? Hivyo ni visingizio tu.
Walikuwa wanachota kwenye mtaji labda au zilikuwa story za kuwahadaa wanyonge.Mkurugenzi wa shirika la ndege inabidi aseme lile gawio walilitoa wapi?
Mimi najiuliza hivii...!!
1. Huo ubadhirifu umefanyika baada ya tarehe 6 March 2021?
2. Au huo ubadhirifu umefanyika baada ya tarehe 17 March 2021?
3. Kama ubadhirifu ulikuwepo? Kwanini haukusemwa kabla?
Leo tarehe 27/12/2020 Waziri Mkuu ambaye ni Mbunge wa Ruangwa amefika katika bandari ya Dar es Salaam
More to follow
=====
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemuagiza Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwenda kufanya ukaguzi maalum katika bandari za Dar es Salaam, Mwanza, Mtwara, Tanga na Kyela kutokana na kuwepo kwa matumizi mabaya ya fedha za umma.
Pia Waziri Mkuu amewasimamisha kazi Mkurugenzi wa Fedha wa TPA, Bibi Nuru Mhando pamoja na Meneja wa Matumizi ya Fedha wa TPA, Bibi Witness Mahela ili kupisha uchunguzi wa tuhuma za matumizi mabaya ya fedha zinazowakabili.
Waziri Mkuu amechukua hatua hiyo baada kupokea ripoti ya Ukaguzi Maalum uliofanywa na CAG katika hesabu ya Bandari ya Kigoma kwa mwaka 2017/2018 na 2018/2019. Lengo la ukaguzi huo lilikuwa kujiridhisha kuhusu matumizi mabaya ya fedha za umma.
Waziri Mkuu ametoa maagizo hayo leo (Jumapili, Desemba 27, 2020) katika kikao chake na Waziri na Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Bodi ya Mamlaka ya Bandari Tanzania na Menejimenti ya Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU na Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai (DCI) kilichofanyika katika ofisi za TPA jijini Dar es Salaam. Amesema taasisi hiyo imebeba taswira ya uchumi wa Taifa, lazima kazi ifanyike vizuri.
Mheshimiwa Majaliwa ameitaka Bodi ya Bandari Tanzania ihakikishe kwamba mamlaka hiyo inafanyakazi kwa weledi na isisite kuchukua hatua kwa mtumishi atakayebainika kutenda makosa na isimbebe kwa namna yoyote.
Watu wana mihemko sana yani!Ina maana JPM hajawahi kutumbua yoyote aliyemteua?
Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
Kwahiyo tukikuleta hapa ofisini kwetu unaweza ukathibitisha kwamba maza ndo kigogo?Alimuambia Kakoko kesho asiende Kazini kwa Vitasa vya mlango vimeshabadilishwa na asubiri taarifa tu.
Na kweli Mh. Samia kashatoa taarifa ya kumsimamisha kazi.
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
AMEPATA NGUVU YA KUAYASEMA BAADA YA TUKIOSimlikuwa mnasema kuwa huyu CAG ameletwa hapo na Magufuri ili afiche madhaifu ya serikali, sasahivi anafichua madhaifu mnaanza Magufuri asingeliwatumbua, kwani Samia amejifunzia wapi kutumbua?huyo mkuu wa TPA alikuwa analiwa taming tu maana Muasibu wake mkuu Alisha simamishwa kitambo na Majariwa na kuagiza uchunguzi wa ubadhirifu ufanyike na lipoti itolewe,sasa kuna jipya gani hapo wakati watu tulikuwa tunasubiri lipoti ya Majariwa?