Rais Samia Suluhu amsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Mhandisi Deusdedit Kakoko

Rais Samia Suluhu amsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Mhandisi Deusdedit Kakoko

Hii ni hatari sana...ni wazi eidha jamaa yuko humo humo au source zake za taarifa ziko huko humo. Haiwezekani akawa na sensitive info kiasi hiki...hata siri zake rais maana yake jamaa anazipata....
Wengi tumekuwa tukisema system within the system ifumuliwe...watamdaka tu mole! Itachukua muda lakini mhaini atapatikana.
Waboreshe security clearance kwenye mawasiliano, hukawii kukuta ni dogo fulani tu wa IT kawahack kawawekea na hidden recorders.

Wanahitaji ku swipe clean kila chumba wanachokutania, for spyware listening devices kabla ya kukutana. Na wanaofanya hizo kazi waangaliwe jamani.

Iko siku tutatajiwa rangi ya nguo za ndani mpaka nje, it's NOT funny anymore. Maadui zetu kimataifa wanafurahia Hilo.

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Isije kuwa nguvu ya soda, hayati alikua ninja halikua haogopi
 
Ingekua enzi za Mtetezi wa wanyonge hivi CAG angemtaja kweli huyu rafiki kipenzi wa mkulu?
Simlikuwa mnasema kuwa huyu CAG ameletwa hapo na Magufuri ili afiche madhaifu ya serikali, sasahivi anafichua madhaifu mnaanza Magufuri asingeliwatumbua, kwani Samia amejifunzia wapi kutumbua?huyo mkuu wa TPA alikuwa analiwa taming tu maana Muasibu wake mkuu Alisha simamishwa kitambo na Majariwa na kuagiza uchunguzi wa ubadhirifu ufanyike na lipoti itolewe,sasa kuna jipya gani hapo wakati watu tulikuwa tunasubiri lipoti ya Majariwa?
 
Mimi najiuliza hivii...!!
1. Huo ubadhirifu umefanyika baada ya tarehe 6 March 2021?
2. Au huo ubadhirifu umefanyika baada ya tarehe 17 March 2021?
3. Kama ubadhirifu ulikuwepo? Kwanini haukusemwa kabla?

Da hoja ya kitoto kweli. Ulishawahi kujiuliza anapokaa Rais, Makamu wake na Waziri mkuu huwa wanajadili nini!?????

Unalotakiwa kujua ni kwamba serikali sio mtu ni taasisi. Na afanyalo rais ni matokeo ya kazi ya wasaidizi wake.

Issue ya huyu kakoko imeanza kushighulikiwa kilichokua kikisubiriwa ni report ili atumbuliwe

Leo tarehe 27/12/2020 Waziri Mkuu ambaye ni Mbunge wa Ruangwa amefika katika bandari ya Dar es Salaam

More to follow

=====

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemuagiza Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwenda kufanya ukaguzi maalum katika bandari za Dar es Salaam, Mwanza, Mtwara, Tanga na Kyela kutokana na kuwepo kwa matumizi mabaya ya fedha za umma.

Pia Waziri Mkuu amewasimamisha kazi Mkurugenzi wa Fedha wa TPA, Bibi Nuru Mhando pamoja na Meneja wa Matumizi ya Fedha wa TPA, Bibi Witness Mahela ili kupisha uchunguzi wa tuhuma za matumizi mabaya ya fedha zinazowakabili.

Waziri Mkuu amechukua hatua hiyo baada kupokea ripoti ya Ukaguzi Maalum uliofanywa na CAG katika hesabu ya Bandari ya Kigoma kwa mwaka 2017/2018 na 2018/2019. Lengo la ukaguzi huo lilikuwa kujiridhisha kuhusu matumizi mabaya ya fedha za umma.

Waziri Mkuu ametoa maagizo hayo leo (Jumapili, Desemba 27, 2020) katika kikao chake na Waziri na Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Bodi ya Mamlaka ya Bandari Tanzania na Menejimenti ya Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU na Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai (DCI) kilichofanyika katika ofisi za TPA jijini Dar es Salaam. Amesema taasisi hiyo imebeba taswira ya uchumi wa Taifa, lazima kazi ifanyike vizuri.

Mheshimiwa Majaliwa ameitaka Bodi ya Bandari Tanzania ihakikishe kwamba mamlaka hiyo inafanyakazi kwa weledi na isisite kuchukua hatua kwa mtumishi atakayebainika kutenda makosa na isimbebe kwa namna yoyote.



Cc Waaai
 
Alimuambia Kakoko kesho asiende Kazini kwa Vitasa vya mlango vimeshabadilishwa na asubiri taarifa tu.
Na kweli Mh. Samia kashatoa taarifa ya kumsimamisha kazi.

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Kwahiyo tukikuleta hapa ofisini kwetu unaweza ukathibitisha kwamba maza ndo kigogo?
 
Simlikuwa mnasema kuwa huyu CAG ameletwa hapo na Magufuri ili afiche madhaifu ya serikali, sasahivi anafichua madhaifu mnaanza Magufuri asingeliwatumbua, kwani Samia amejifunzia wapi kutumbua?huyo mkuu wa TPA alikuwa analiwa taming tu maana Muasibu wake mkuu Alisha simamishwa kitambo na Majariwa na kuagiza uchunguzi wa ubadhirifu ufanyike na lipoti itolewe,sasa kuna jipya gani hapo wakati watu tulikuwa tunasubiri lipoti ya Majariwa?
AMEPATA NGUVU YA KUAYASEMA BAADA YA TUKIO
 
Back
Top Bottom