Rais Samia Suluhu anakwenda kuzoa kura zote uchaguzi ujao

N

Ndio maana wapinzani wameamua yaishee tu maana wameona kwa Kasi hii ya mama hawawezi ambulia kitu, Ndio maana unaona hata akina mh Mbowe wanamuunga mkono mh Rais katika kuijenga Tanzania chini ya mh Rais wetu
Asante kwa kutufahamisha.
 
WANYAKYUSA wameacha Makanisa wameingia siasa
Mrudi kwenu Zambia
 
Mh mama Samia suluhu Hassani 2025 usidanganyike kuchukua fomu utaaibika.
CCM viongozi wanakundanganya , CCM wanachama wanakusema vibaya mno.
Sabuni ya Kufulia nguo kipande ni Tsh 1,200 /=
Unagongwa bei na wajanja,shituka.
 
Huo utafiti ungeasaidia Nyie Chadomo kushida uchaguzi..

Kama huamini unataka utafiti utaupata vizuri 2025.
Kwenye hili acheni ushabiki, kwasababu mda Bado upo sahihisheni makosa.
Maafisa ugani wamepewa vitendea kazi ,je vinatumika kwa manufaa ya wanchi wa chini?

Zahanati ,Vituo vya afia ,Hospital zimejengwa sawa ,je zinatoa huduma kama ilivyo kusudiwa? Wataalam wapo?
Wana moyo wa kujituma? Dawa zinapatikana?

Kumbuka Rais Samia , sio kwamba, hafanyo kazi .Cha gamoto inayo mkabili ni uwazi uliopo ,ambao mtangulizi wake akifanikiwa kuuvidha.

Sasa basi , wasaidizi wake watoke waje na ubunifu wakutatua kero zinazo mgusa mwananchi wa chini kabisa.

Wakishindwa Hilo natabili wataturudisha Kule kwenye kufungia magazeti, kufungia radio station ,kukamata watumiaji wa social media, kuteka nakutesa wa kosoaji wa serikali.
 
Shule ya Sekondari ivwanga, kisimani,
Yote hayo ndio mama yetu mh Rais anaendelea kuyatimiza zahanati na vituo vya Afya vinajengwa na wahudumu wanapelekwa, ndio maana unaona akitoa ajira, shule zinajengwa na walimu pia wanaajiriwa Kama ilivyofanyika majuzi hapo, maji Safi na salama pia yanapelekwa kwa wananchi

Changamoto ndogo ndogo zinaendelea kutatuliwa na kumalizwa hatua kwa hatua
 
Huo utafiti ungeasaidia Nyie Chadomo kushida uchaguzi..

Kama huamini unataka utafiti utaupata vizuri 2025.
Mkuu,nimeacha kujadili na wewe baada ya kufahamu kwamba uwezo wako ni mdogo sana kuweza kujadili mambo na mimi.

Sasa sijajua ni kwanini bado unaendelea kunijibu, au pengine ni kwakuwa sikukuweka wazi ila sasa umejua.
 
Mkuu Chakaza , kwenye siasa hili ni jambo la kawaida sana kwa watu kufanya kitu kinachoitwa election projection, hii hata mimi nilimfanyia JPM, ile ile November 2015, niliuliza Kwa kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?
P
 
Mkuu,nimeacha kujadili na wewe baada ya kufahamu kwamba uwezo wako ni mdogo sana kuweza kujadili mambo na mimi.

Sasa sijajua ni kwanini bado unaendelea kunijibu, au pengine ni kwakuwa sikukuweka wazi ila sasa umejua.
Uwezo gani ulionao wewe taahira..

Kama una uwezo si uwasidie Chadomo kushida uchaguzi?

Vinginevyo huo uwezo wako ni WA kutoa kimba kubwa tuu chooni.
 
Subiria 2025 porojo za nini?
 
Uwezo gani ulionao wewe taahira..

Kama una uwezo si uwasidie Chadomo kushida uchaguzi?

Vinginevyo huo uwezo wako ni WA kutoa kimba kubwa tuu chooni.
Binafsi nimeshamalizana na wewe mkuu, sijajua nimeumiza hisia zako kwa kiwango gani ila ni vizuri nimekwambia ukweli ili ukajisomee na ujifunze kujenga hoja kabla ya kuja JF kujadili na watu ili usiishie kurusha matusi kwa kukosa hoja.

Nafurahi kwa kuwa umeonyesha kuumizwa sana, hii itakusaidia kujifunza.
 
 
Mimi nasema mkafanye utafiti muone wapiga kura wanamzungumziaje, wewe unaniletea vipicha vya propaganda.
Mimi nampenda huyo Mama ila siwezi kumdanganya, uungwaji mkono wake ni mdogo sana tena hasa kwa Wanawake.
Ni vile tu sasa hivi hatuna upinzani.
Uungwaji mkono kwa mh Rais Ni mkubwa Sanaa, kwa Sasa huwaelezi kitu watanzania, hii ndio sababu ya wapinzani kupoteana maana walikuwa wanategemea mianya iliyokuwa inaachwa ndio nao wakawa wanapata upenyo wa kuisulubu serikali, lakini kwa Sasa mama ameziba mianya yote kwa kufanya kazi zinazo gusa maisha ya watu

Kwa Sasa hata upinzani na wapinzani wachachee waliobakia nao wanamuunga mkono mh Rais kwa matendo na kauli za kuijenga nchi yetu
 
Eti kura zote? Ndoto za alnacha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…