Rais Samia Suluhu anakwenda kuzoa kura zote uchaguzi ujao

SAMIA ana kazi sana,kwanza wapiga kura wengi ni wanawakewa ambapo hawapendi kuongozwa na Mwanamke mwenzao-Wanaume vilevile hawapendi kabisa ukijumuisha na Uzanzibar wake labda aibe tu kura lakini free and fair hawezi kutoboa hata robo.
 
Una tumia ugoro au bange?
Nikununulie ipi?
 
SAMIA ana kazi sana,kwanza wapiga kura wengi ni wanawakewa ambapo hawapendi kuongozwa na Mwanamke mwenzao-Wanaume vilevile hawapendi kabisa ukijumuisha na Uzanzibar wake labda aibe tu kura lakini free and fair hawezi kutoboa hata robo.
Tuendako kura za wizi hazitamsadia mtu, Cha msingi ni kushinda KWa haki ,kitu ambacho sioni akichomoka, lakin pia CCM simuoni wa kuwekwa pale akachomoka, hasa walio hapo juu, badala anza Lea watu ambao wanaweza mbele leta ushindani wapo kusifia,
Wana watu wazuri hawataki kuwabland wanawasukumia kwenye nafasi za ukuu wa Mkoa, tengeneza watu , mbele tunataka siasa zenye mvuto tz,
 
Una tumia ugoro au bange?
Nikununulie ipi?
Situmii chochote Kati ya hivyo, Bali natumia Uhuru wangu kueleza ukweli toka huku tuishiko watanzania wengi ambako kwa Sasa huwaambii habari za upinzani wakakusikiliza achilia mbali kukuelewa, wananchi wanamuunga mkono mh Rais mama Samia suluhu Hassani kwa kiwango kilichomaliza kabisa kusikika na kujadiliwa kwa habari za upinzani
 
Mtoa post nampa pole mzee wako kwa kuzaa ng’ombe kama wewe
 
Kwa taarifa tu ningependaa kukwambia kuwa mh mama Samia suluhu Hassani hata asipopigaa kampenii atashinda kwa kishindo, labda hapo ulipo embu niambie Ni mpinzani yupi mwenye hata muelekeo wa kuweza kumtikisa mh Rais katika uchaguzi,

Ni Sera zipi na ajenda zipi ambazo mama Samia hajatekeleza au kuzigusa ambazo huyo mpinzani anaweza kuzitumia kuwashawishi mamilioni ya watanzania tunaomuunga mkono mh Rais, kiufupi kwa Sasa hakuna wa kumtikisa mh Rais wetu maana kagusa kila kitu na kutekeleza Mambo mengi Sana yaliyokuwa kilio Cha watanzania
 
SAMIA ana kazi sana,kwanza wapiga kura wengi ni wanawakewa ambapo hawapendi kuongozwa na Mwanamke mwenzao-Wanaume vilevile hawapendi kabisa ukijumuisha na Uzanzibar wake labda aibe tu kura lakini free and fair hawezi kutoboa hata robo.
Acha uongo ndugu yangu, kwa Sasa wanawake ndio wapo mstari wa mbele kumuunga mkono mh Rais wetu, maana wanajivunia utendaji kazi wa mh Rais kwa kusema kuwa Mh Rais amewaheshimisha wanawake, wanasema kuwa kwa Sasa mwanamke atapewa uongozi wa ngazi yoyote bila kubaguliwa maana mh mama Samia ameshaonesha kwa vitendo uwezo wa kiuongozi

Wanaume ndio kabisaaa tunaomuunga mkono mh Rais maana ameliletea heshima Taifa letu kwa namna anavyo ongoza, Nchi kwa Sasa imetulia, inaamani, Ina furaha, Ina mshikamano na upendo, Ni Taifa moja kwa Sasa, mama yetu mh Samia amekuwa kiongozi wa mfano barani Afrika na wakupigiwa mfano,
 
Mtoa post nampa pole mzee wako kwa kuzaa ng’ombe kama wewe
Japo umeshindwa kueleza unatofautiana nami wapi na wapi unapoona kuwa upinzani una Sera na ajenda za kuwashawishi watanzania walio na upendo na mh Rais kuwaamini na kuishia kunitukana, bado Mimi nitakuheshimu utu wako, Sina desturi ya kumtukana mtu hata Kama ninatofautiana Naye

Tunaweza tukabishana bila kutukanana Wala kuumizana, Nimekusamehe na nitaendelea kukusamehe hata unitukane vipi bado sitakutukana Wala kutumia lugha ya maudhi au ukakasi kwako, Mimi Namheshimu kila mtu maana wewe ni wathamani Sana mbele za Mwenyezi Mungu, Kama unanitukana endelea Ila Mimi nitabaki kukuombea ili mungu akusamehe na kukujalia moyo wa upendo hekima busara na uvumilivu
 
Wavuvi nimwiba ambaounaonekana hauna madhara haswa ziwa Tanganyika sekta nyingi alizoharibu mtangulizi wake amezijali lakini wavuvi katupuuza sasa ngoja tuone mungu atupe uzima tu
 
Nape nae kaongeza bei ya vifurushi ili mradi tu watu wasitumie mitandao.

Ila haya mambo haya.

Naamini Samia anapaswa kufanya reforms nyingi sana kama anataka aungwe mkono na watu wa kada ya chini.
 

Magufuli na miundombinu yake yote aliiba kura sembuse huyu ambaye Bei ya mafuta ni shilingi 3500 Lita moja.
 

Acha uongo, Seema unatafuta teuzi. Acha kuongea kwa maslahi yako. Jana Kuna mtanzania kanueurika kujiua morogoro kiss ugumu wa Maisha halafu wewe unaleta stori za uchaguzi 2025. Mama yako bila kuiba hata shinda hata Kama atagombea pekee yake.
 

2020 mlisema hivi hivi mwisho wa siku mkaishia kuiba kura. CCM inamiliki bunge, halmashauri zote na urais. Fanyeni kazi mpunguze ugumu wa maisha. Acheni kujikomba mpate teuzi acha kabisa.
 

Uchumi gani anao Jenga?. Unajenga uchumi kwa tozo za kila kwa mwanchi?. Rais unashindwa kushughulikia Bei ya mafuta nchini kwako unaanza kulinganisha na nchi zingine.
 

Ni lini Tanzania haijawa salama?. Acheni longolongo shughulikeni mfumuko wa Bei. Kwa Sasa hata kujenga ni kazi maana vifaa vimepanda Bei Sana. Tuache sifa za kijinga tuje na master plan ya kupunguza mfumuko wa Bei kwa bidhaa muhimu na ujenzi wa makazi na sio ujinga huu wa kusifia ujenzi wa barabara kama hisani wakati mwananchi ndio anaye changia kupitia tozo na Kodi.
 
Yah right. Provided that atafanya kama alivyofanya Mwendazake kwa msaada wa Mahera na team yake .....!!
 

Mama angekuwa na hekima 2025 angekaa pembeni na sio kugombea atapata shida Sana. Upinzani ni wannchi sio Mbowe au Lissu. Umesahau 2020 pamoja na kuzuia upinzani usifanye siasa kwa miaka mitano lakini uchaguzi ulipofika wakazima mtandao wa internet kwa hofu na kuiba kura kiulaini. Fikiria wale walijitahidi lakini mwishowe wakaiba sembuse huyu aliyezidiwa hata na mafuta.

Na huyu akijidanganya aibe atapata kadhia kubwa Sana.
 

Kwani Tanzania tumepata Uhuru Jana?. Unaongea as if serikali zingine hazikufanya hayo na bado zilipata shida kwenye uchaguzi Hadi kuiba.

Mama aombe sana wafuasi wa Magufuli na wafuasi wa chadema wasiungane la sivyo atapata tabu Sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…